Tujadiliane hili tafadhali

Tujadiliane hili tafadhali

Sijui unaupimaje huo upendo, ila kwa mtizamo wangu, hakun amtu amaewahi nipenda kama mama yangu. Na huwanasikitika kuwa japo nampenda, ila upendo wangu kwake hauwezi fikia upendo wake kwangu.

Na hii niliiona baada ya mie kupata watoto wangu, jinsi ninavyowapenda sitegemei wao wanipende vile. kwa nini? They take me for granted sababu wamezaliwa na kunikuta ninawapenda tu. Na wao wanaona nipo tu kwa ajili yao na siwezi kuondoka. Siwezi kumsemea saana baba, japo nakubali wapo kina baba wanawalea watoto wao utadhani wao ndio mama zao (cc Nyani Ngabu - Sijui kwa nini nahisi ni baba wa mfano)

Tofauti na mie sikuwa nao, ni kitu nimekifanyia kazi kukipata, kuanzia utungaji wa mimba, ukuaji wa mimba na mawasialiano kati yetu, mara kanichoma mbavu na kiwiko, mara anacheza mieleka, mradi tu mawasiliano yako juu juu.

I could not wait for them to come out nione product yangu. Na kitu cha kushangaza na kufurahisha ni kuona sura 2 katika mtu mmoja, my eyes, his nose, my lips, his ears. Kuanzia siku ya kwanza nilivyokiona kidogo kama ki samaki kimejaa mifupa kila mahali, i was so excited, ambavyo nilihangaika hata kukitoa kitandani nisijue la kufanya. Kumbukumbu hizo zote kwa pamoja zinajikusanya na kuwa upendo mkubwa ambao kwa tafsiri yangu ya sasa, sitegemei kupata upendo wa aina hiyo kwa mtu mwingine zaidi ya mama.

Labda kwa sababu mapenzi ya mzazi na ya mme/mke yanatofautiana.
Kongosho umenifurahisha jinsi ulivyoeleza.......mama hafananishwi na kitu kingine upendo anaokuwa nao kwa mwanawe hata wakati mwingine naangalia mafanikio/maisha niliyonayo nikimwondoa Mwenyezi Mungu muweza wa yote ni mama kwa sala na upendo dhati.
 
Last edited by a moderator:
1391758_556275424451820_177935180_n.jpg

sina wasiwasi kabisa kuwa mama yangu ananipenda sana tena sana kabisa.......
Najiuliza ni fair kutoa statement kama hii?
Ni kweli kabisa kuwa mama zetu wanatupenda sana kuliko mtu yeyote anavyotupenda?
Nina uhakika naweza kupima mapenzi yangu kwenda kwa mwingine, nina uhakika kabisa nani nampenda zaidi kuliko mwingine, lakini unaweza kujua kwa uhakika kabisa kuwa nani anakupenda sana kuliko mwingine?
Ni kweli wababa hawapendi watoto wao zaidi ya vile ambavyo mama zao wanawapenda?
Tuachane na story za kusema "mama alimbeba mtoto tumboni miezi 9" ndo sababu anampenda sana. kuna wamama ambao wanabeba mimba na wanatupa watoto au kuwatelekeza.
Haya mapenzi ya kutota upande mwingine tunayapimaje?
Naomba tujadiliane hili tafadhali
its more than that!! when you're sick, feeling down, made a mistake etc mama anakuwa wa kwanza kukufariji na kukupa ushauri. even when i'm angry sometimes my mom's voice can calm me na kunifanya nijiulize mara mbili mbili why nimechukia na inasaidia kuepuka kufanya "something i'll regret later". this is hard to find in other women so thats y tunasema mom's love is #1
 
Sijui unaupimaje huo upendo, ila kwa mtizamo wangu, hakun amtu amaewahi nipenda kama mama yangu. Na huwanasikitika kuwa japo nampenda, ila upendo wangu kwake hauwezi fikia upendo wake kwangu.

Na hii niliiona baada ya mie kupata watoto wangu, jinsi ninavyowapenda sitegemei wao wanipende vile. kwa nini? They take me for granted sababu wamezaliwa na kunikuta ninawapenda tu. Na wao wanaona nipo tu kwa ajili yao na siwezi kuondoka. Siwezi kumsemea saana baba, japo nakubali wapo kina baba wanawalea watoto wao utadhani wao ndio mama zao (cc Nyani Ngabu - Sijui kwa nini nahisi ni baba wa mfano)

Tofauti na mie sikuwa nao, ni kitu nimekifanyia kazi kukipata, kuanzia utungaji wa mimba, ukuaji wa mimba na mawasialiano kati yetu, mara kanichoma mbavu na kiwiko, mara anacheza mieleka, mradi tu mawasiliano yako juu juu.

I could not wait for them to come out nione product yangu. Na kitu cha kushangaza na kufurahisha ni kuona sura 2 katika mtu mmoja, my eyes, his nose, my lips, his ears. Kuanzia siku ya kwanza nilivyokiona kidogo kama ki samaki kimejaa mifupa kila mahali, i was so excited, ambavyo nilihangaika hata kukitoa kitandani nisijue la kufanya. Kumbukumbu hizo zote kwa pamoja zinajikusanya na kuwa upendo mkubwa ambao kwa tafsiri yangu ya sasa, sitegemei kupata upendo wa aina hiyo kwa mtu mwingine zaidi ya mama.

Labda kwa sababu mapenzi ya mzazi na ya mme/mke yanatofautiana.

umenifanya nitamani kuzaa tena konnie!
thiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiis feelings!
 
ha haaa, mimi najua kuwa napenda sana watoto wangu, wote..... but ninavyomwangalia baba yao, ukweli siwezi kusema upendo wangu kwa watoto ni mkubwa kuliko wake, nitakuwa namwonea. hapa upendo sisemei uwajibikaji, upendo

kumbe nawe umeona hilo mshukuru Mungu kwa hilo .....kweli uwajibikaji na upendo tofauti
 
Sijui unaupimaje huo upendo, ila kwa mtizamo wangu, hakun amtu amaewahi nipenda kama mama yangu. Na huwanasikitika kuwa japo nampenda, ila upendo wangu kwake hauwezi fikia upendo wake kwangu.

Na hii niliiona baada ya mie kupata watoto wangu, jinsi ninavyowapenda sitegemei wao wanipende vile. kwa nini? They take me for granted sababu wamezaliwa na kunikuta ninawapenda tu. Na wao wanaona nipo tu kwa ajili yao na siwezi kuondoka. Siwezi kumsemea saana baba, japo nakubali wapo kina baba wanawalea watoto wao utadhani wao ndio mama zao (cc Nyani Ngabu - Sijui kwa nini nahisi ni baba wa mfano)

Tofauti na mie sikuwa nao, ni kitu nimekifanyia kazi kukipata, kuanzia utungaji wa mimba, ukuaji wa mimba na mawasialiano kati yetu, mara kanichoma mbavu na kiwiko, mara anacheza mieleka, mradi tu mawasiliano yako juu juu.

I could not wait for them to come out nione product yangu. Na kitu cha kushangaza na kufurahisha ni kuona sura 2 katika mtu mmoja, my eyes, his nose, my lips, his ears. Kuanzia siku ya kwanza nilivyokiona kidogo kama ki samaki kimejaa mifupa kila mahali, i was so excited, ambavyo nilihangaika hata kukitoa kitandani nisijue la kufanya. Kumbukumbu hizo zote kwa pamoja zinajikusanya na kuwa upendo mkubwa ambao kwa tafsiri yangu ya sasa, sitegemei kupata upendo wa aina hiyo kwa mtu mwingine zaidi ya mama.

Labda kwa sababu mapenzi ya mzazi na ya mme/mke yanatofautiana.

yaani umeelezea vizuri,nimegonga "LIKE" nikaona haitoshi
umenifanya nimkumbuke my mom zaidi,it touches my feeling towards my MOM
ur explanation is so DEEP
mapenzi yake mama kwangu siwezi kuyafananisha na ya mtu yeyote for real
 
Sijui unaupimaje huo upendo, ila kwa mtizamo wangu, hakun amtu amaewahi nipenda kama mama yangu. Na huwanasikitika kuwa japo nampenda, ila upendo wangu kwake hauwezi fikia upendo wake kwangu.

Na hii niliiona baada ya mie kupata watoto wangu, jinsi ninavyowapenda sitegemei wao wanipende vile. kwa nini? They take me for granted sababu wamezaliwa na kunikuta ninawapenda tu. Na wao wanaona nipo tu kwa ajili yao na siwezi kuondoka. Siwezi kumsemea saana baba, japo nakubali wapo kina baba wanawalea watoto wao utadhani wao ndio mama zao (cc Nyani Ngabu - Sijui kwa nini nahisi ni baba wa mfano)

Tofauti na mie sikuwa nao, ni kitu nimekifanyia kazi kukipata, kuanzia utungaji wa mimba, ukuaji wa mimba na mawasialiano kati yetu, mara kanichoma mbavu na kiwiko, mara anacheza mieleka, mradi tu mawasiliano yako juu juu.

I could not wait for them to come out nione product yangu. Na kitu cha kushangaza na kufurahisha ni kuona sura 2 katika mtu mmoja, my eyes, his nose, my lips, his ears. Kuanzia siku ya kwanza nilivyokiona kidogo kama ki samaki kimejaa mifupa kila mahali, i was so excited, ambavyo nilihangaika hata kukitoa kitandani nisijue la kufanya. Kumbukumbu hizo zote kwa pamoja zinajikusanya na kuwa upendo mkubwa ambao kwa tafsiri yangu ya sasa, sitegemei kupata upendo wa aina hiyo kwa mtu mwingine zaidi ya mama.

Labda kwa sababu mapenzi ya mzazi na ya mme/mke yanatofautiana.
rafiki unajitahidi kuni-convince, lakini bado, nitaendelea kukomaa.
pamoja na kuwa mimi ni mama na nawapenda sana wanangu, lakini sioni kama ni sahihi kwao kusema kuwa mimi nawapenda zaidi kuliko wanavyopendwa na wengine
 
Kongosho umenifurahisha jinsi ulivyoeleza.......mama hafananishwi na kitu kingine upendo anaokuwa nao kwa mwanawe hata wakati mwingine naangalia mafanikio/maisha niliyonayo nikimwondoa Mwenyezi Mungu muweza wa yote ni mama kwa sala na upendo dhati.

yani kwa kweli kila mwanamke aliyezaa akiisoma hii lazima amesisimkwa mwili!
dada mkubwa nafikkir tukae kama kamati!
hiv kwani kwenye ukoo kuna mapacha?
kwani hatuwezi tukawatengeneza wa nje nje!lol!
 
ndo maana naogopa sana kuweka kwenye mizani mapenzi ya wapenzi na ya wazazi hasa mama......
ila nikifikiria sana wamama wangapi wapo ambao hawawapendi watoto wao kihivyo? yaani zaidi ya wanavyopendwa na dada, kaka, baba?

ndio hivyo wapo wengine ukimuuliza kuhusu mama ake atakwambia hataki hata kumsikia.....

ila mie naamin kutokana na malezi alonipa my mother,ndio maana hadi kesho kutwa she will always be the best
 
naomba nikukosoe dada yangu kwani mi bado naweza sema wewe ndiye unayewapenda watoto wako zaidi ya mtu mwingine,kwani hao wengine wanazo driving factors za kuwapenda like wanaonekana vizuri pengine wana afya njema au matunzo mazuri au wana akili na mambo mengine kibao ambayo huenda ukifuatilia motivator au mwezeshaji wa yote hayo pengine ni wewe mama yao,lakini wewe au mama yeyeyote yule anawapenda watoto wake bila sababu yoyote na ndio maana watu wanaweza muona mtoto wa fulani mbaya sana lakini mama hatambui hilo anaona mtoto wake ndo mzuri wa dunia,kwa nini?upendo wa mama hauelezeki wenyewe upo upo tu sikuzote ni wa asili nadhani unconditional.
rafiki unajitahidi kuni-convince, lakini bado, nitaendelea kukomaa.
pamoja na kuwa mimi ni mama na nawapenda sana wanangu, lakini sioni kama ni sahihi kwao kusema kuwa mimi nawapenda zaidi kuliko wanavyopendwa na wengine
 
Na hii niliiona baada ya mie kupata watoto wangu, jinsi ninavyowapenda sitegemei wao wanipende vile. kwa nini? They take me for granted sababu wamezaliwa na kunikuta ninawapenda tu. Na wao wanaona nipo tu kwa ajili yao na siwezi kuondoka. Siwezi kumsemea saana baba, japo nakubali wapo kina baba wanawalea watoto wao utadhani wao ndio mama zao (cc Nyani Ngabu - Sijui kwa nini nahisi ni baba wa mfano).

Wala hujakosea kwani hata ukimuuliza bi mdogo atakuambia kwamba I am the "best and coolest dad". Lakini nami nasema kuwa baba yangu was the best and coolest dad ever.

Maisha yake yote alijitoa kwa ajili yangu. Ingawa hayupo tena duniani, lakini katika uhai wake alihakikisha kwamba kama ikija siku ataondoka basi atamwacha mwanae pekee (mimi) katika hali ambayo hatakuja tena kupata shida unless aje aharibu tu mwenyewe kwa ujinga wake.

Sasa nami nafuata mfano huo huo. I love my dad more than I love life itself. And I'm sure if you ask my princess she'll tell you the same exact thing about me.
 
its more than that!! When you're sick, feeling down, made a mistake etc mama anakuwa wa kwanza kukufariji na kukupa ushauri. Even when i'm angry sometimes my mom's voice can calm me na kunifanya nijiulize mara mbili mbili why nimechukia na inasaidia kuepuka kufanya "something i'll regret later". This is hard to find in other women so thats y tunasema mom's love is #1

i agree with you.....its something abt her that is unexplainable

nakumbuka kuna siku nilipatwa na masahibu nikawa nalia,namuelezea yaani
mama angu alivyonibembeleza...alivyokuwa concerned yaani acha tu
 
Yaani sio peke yako, mwenyewe kanitia hamu ya kuwa na kazygote tena. Wapi The Boss, l need kaspermatozoa now now now!!!!!

kwa kweli yani hiv genye za kuzaa zinaanzaje si ndio hivi hiv
tu do ze needful asee! Kongosho sa ndio nini!
yani umeelezea kale ka hali kwa utamu bana chaaaaaaaaaaaa!
aseee ita hyo mnyamwezi mwenzio muongeze idadi bana!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, kabla haujaoa au kuolewa, mama ni mhimili mkubwa sana, hasa kihisia

Lakini unapokuwa na mme/mke na labda watoto, dhumuni lako la kuishi linakuwapana zaidi. Na kwa sababu watoto huja na kuiba upendo wako, yale maumivu ya kuondokewa na mzazi yanakuwepo, wakati huo huo kunakuwa na watu wengine wanaokutegemea na uwapendao sana.

Nadhani ni hivyo, sina hakika ila. . .

Kongosho umeelezea wewe mpaka sijui niongeze nini,ila tena kuna hili jambo nimesikia likisemwa kuwa mtoto anapokuwa umri fulani na kifo cha mzazi mmojawapo sana sana mama kikitokea huumia kupita maelezo,lakini kinapotokea wakati tayari mtoto ana mke/mume haumizwi sana na kifo hicho kama ambavyo ataumizwa na kifo cha mume/mke wake,sijui hili pia limekaaje jamani nimekuwa nikijaribu kuona ukweli wa hili lakini nimekuwa sipati jibu halisi.

copy Fixed Point
 
Ha ha ha ha, fanyeni but at your own risk ya ada za shule

Mama kwa mtoto sijui tu nini kipo kati yao. Ujue hata kule kuhangaika kwa miezi mitatu ya kwanza ni memmory tu, siku ya kwanza unamuona anapozaliwa, process ya uchungu, vyote hivyo vinajenga upendo, na kuna wakati huwa navi-miss kabisa. Sometimes huwa nakaa naanza kuwasimulia vinavyosimulika, naulizwa maswali weee, mradi raha tu.

Yaani sio peke yako, mwenyewe kanitia hamu ya kuwa na kazygote tena. Wapi The Boss, l need kaspermatozoa now now now!!!!!

kwa kweli yani hiv genye za kuzaa zinaanzaje si ndio hivi hiv
tu do ze needful asee! Kongosho sa ndio nini!
yani umeelezea kale ka hali kwa utamu bana chaaaaaaaaaaaa!
aseee ita hyo mnyamwezi mwenzio muongeze idadi bana!
 
Damu nzito kuliko maji...Siwezi kueleza jinsi ninavyompenda mwanangu...Nitasacrifice chochote kwaajili yake..My child is my first priority..and that will always be..hata mwanaume yoyote atakayekuwepo maishani mwangu lazima amkubali yeye kwanza ndio mengine yatafuata....Ikumbukwe mpenzi wako sio ndugu yako ni mtu mliyekutana nae ukubwani na meno 32...But my child is my blood and flesh....Mapenzi ya baba kwa mtoto naweza kusema ni tofauti kidogo labda kwasababu anayechukua majukumu yote haswa katika malezi ni mama...kwahio ule ukaribu unakuwa tofauti haupo tightly bounded...Lakini nadhani inategemea vilevile na baba mwenyewe....
 
Najiuliza ni fair kutoa statement kama hii?

No Love is Greater than mom's Love

Mtani nadhani hiyo hapo juu ndiyo 'statement' uliyokusudia kuifanya kiini cha mjadala huu.

Kwa kifupi tu ni kwamba matamshi hayo yapo sahihi kwa aina fulani tu ya watu lakini si sahihi wakati wote.

Kwanza lazima tukubali kuwa matamshi hayo kifasihi ni matamshi linganifu, yaani mnenaji au mwandishi katizama aina nyingi za upendo halafu kwayo kaona ule wa mama ni mkubwa kuliko.

Vilevile huenda mwandishi huyu hakuwahi kuupata upendo aina nyingine yoyote ya upendo zaidi ya ule wa mamaye. Ni kama mtu ambaye amezoea kula aina moja ya chakula na akajiaminisha kuwa hakuna chakula kitamu kama hicho hivyo hata vyakula vingine hataki kabisa kuvionja.
 
nimekulewa angalau

Back
Top Bottom