Zitto ni nafuu mno kuliko kina Lema
Unaanzaje kumwamini mwanasiasa?
Huyu aliyeishambulia BARRICK baada ya kukuta chake kimiaaaa.Zitto kawa Mwiba Mkali kwa Suku gang!
Naona wewe ndio umetoa jibu zuri mpaka sasa.Zitto ni mjasiliamali katika siasa
Hapa alizingua sanaMimi nakumbuka wakati wa sakata la fao la kujitoa la NSSF,wakati huo nikifanya kazi Geita Gold Mining na nikiwa mwana Chadema haswa ngazi ya wilaya,tulimpigia simu Slaa na Mbowe watusaidie,Mbowe akatuahidi wanalifanyia kazi,kesho yake Jafo akawa kawakilisha pendekezo hiyo sheria inayozuia wafanyakazi kuchukua mafao yao wanaopoachishwa kazi irejeshwe bungeni ijadiliwe upya,wakati Jaffo akiwa mbunge tu wa CCM,mjadala ukawa mkali sana bungeni na dalili zote zikionesha hiyo sheria kufutwa,Zitto akasimama akaomba kamati ya uongozi ya bunge wakutane kujadiliana,mchana walivyorudi bungeni wakasema sheria itabaki hivyo hivyo ila waziri anaombwa aandae kanuni,Zitto akawa katudumkiza,kesho yake tukampigia simu tena Slaa na Mbowe tukamwambia mbona Zitto anaonekana yuko upande wa Serekali,wakatuambia hata wao wanajua na wameona,ila wakatuahidi watajitahidi,ilibidi mwakilishi wetu aende kuonana na Jenister Mhagama na yule dada Isihaka wa SSRA,wakasema hili swala kuna baadhi ya wabunge hata wa upinzani wamepewa hela kuhakikisha sheria inaendelea kuwepo ya kuzuia fao la kujitoa.
Baada ya hapo tukawa na mkutano wa wadau wa NSSF pale AICC Arusha na Zitto pia alikuwepo,nakumbuka alisimama na kusema fao la kujitoa halifai na lifutwe
Kwako of course. Lakini wengine tuna uwezo wa kumsoma kama kitabu.Ila tu ana AKILI NYINGI tofauti na wanasiasa wengi. Tabia zingine ni common kwa KILA MWANASIASA.
Maisha yako yatabaki kuwa mikononi mwako. Usipotumia akili yako utaburuzwa kama msukule maisha yako yote.Mimi nakumbuka wakati wa sakata la fao la kujitoa la NSSF,wakati huo nikifanya kazi Geita Gold Mining na nikiwa mwana Chadema haswa ngazi ya wilaya,tulimpigia simu Slaa na Mbowe watusaidie,Mbowe akatuahidi wanalifanyia kazi,kesho yake Jafo akawa kawakilisha pendekezo hiyo sheria inayozuia wafanyakazi kuchukua mafao yao wanaopoachishwa kazi irejeshwe bungeni ijadiliwe upya,wakati Jaffo akiwa mbunge tu wa CCM,mjadala ukawa mkali sana bungeni na dalili zote zikionesha hiyo sheria kufutwa,Zitto akasimama akaomba kamati ya uongozi ya bunge wakutane kujadiliana,mchana walivyorudi bungeni wakasema sheria itabaki hivyo hivyo ila waziri anaombwa aandae kanuni,Zitto akawa katudumkiza,kesho yake tukampigia simu tena Slaa na Mbowe tukamwambia mbona Zitto anaonekana yuko upande wa Serekali,wakatuambia hata wao wanajua na wameona,ila wakatuahidi watajitahidi,ilibidi mwakilishi wetu aende kuonana na Jenister Mhagama na yule dada Isihaka wa SSRA,wakasema hili swala kuna baadhi ya wabunge hata wa upinzani wamepewa hela kuhakikisha sheria inaendelea kuwepo ya kuzuia fao la kujitoa.
Baada ya hapo tukawa na mkutano wa wadau wa NSSF pale AICC Arusha na Zitto pia alikuwepo,nakumbuka alisimama na kusema fao la kujitoa halifai na lifutwe
Huna unalojua. Kamati ya Bunge inahusika vipi na kuuza mali za Serikali kupitia ubinafsishaji. Akili ndogo kweli.Zitto alikuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mashirika ya umma POAC wakati yuko CHADEMA. Kwa muda huo alishiriki kuiuza ATC kwa makaburu. Baada ya kuungana, abiria (weupe) wa South Africa wakawa hawana imani na marubani (weusi) waWatanzania. Mashirika mengi ya fedha yakajenga actuarial deficits zinawala hadi leo. Kwa unono wa POAC majamaa ya CHADEMA yalimfukuzilia mbali mara tu alipohama, tundulissu meenyewe aliipata hukumu kabla Jaji kuisoma. Ni kasheshe, lakini uzalendo ni zero.
Huu ukiazi utakuondoka lini wewe?Hakuna mwanasiasa mwaminifu!
Ushahidi ni Halima Mdee na wenzake.
Uanzishwaji wa chama chake ulifadhiliwa na taasisi nyeti za dola, unategemea nini zaidiHuyo jamaa amekuwa akijifanya mwana mapinduzi na mfuasi wa sera za Hayati baba wa Taifa letu mzee Julius Lakini ukimtazama kwa matendo yake hakika ni mtu asiye muwazi wa maslahi yake kwa watu/makampuni ambao huwa anawatetea kwa baadhi ya nyakati.
Binafsi siuoni uaminifu na uzalendo wa Zitto kwa Taifa letu. Amekaa kipigaji zaidi!
Anyway, if kama jukwaa huru nawaalika tuudadavue uaminifu wake katika Taifa letu kama ni kweli ni mwaminifu ama la.
Hahahaaaa....... Manka umefura Mdee anakutesa sana!Huu ukiazi utakuondoka lini wewe?
Wewe ndiye unayewajuwa wanasiasa wote?
Nini inakufanya kuamini ana maslahi kwa makampuniIHuyo jamaa amekuwa akijifanya mwana mapinduzi na mfuasi wa sera za Hayati baba wa Taifa letu mzee Julius Lakini ukimtazama kwa matendo yake hakika ni mtu asiye muwazi wa maslahi yake kwa watu/makampuni ambao huwa anawatetea kwa baadhi ya nyakati.
Binafsi siuoni uaminifu na uzalendo wa Zitto kwa Taifa letu. Amekaa kipigaji zaidi!
Anyway, if kama jukwaa huru nawaalika tuudadavue uaminifu wake katika Taifa letu kama ni kweli ni mwaminifu ama la.
Imethibitika sasa, kichaa chako hakina dawa!Hahahaaaa....... Manka umefura Mdee anakutesa sana!