Bahati mbaya kuna mambo mengine hayahitaji kuwa na 'plan B'Usijiondoe mwaya, sijajua status yako ndio maana nimeshindwa kukuweka sehemu yoyote ili nisikuvunjie heshima. pls changia bwana.
Fafanua kwanini unadhani ni muhimu?
Usijiondoe mwaya, sijajua status yako ndio maana nimeshindwa kukuweka sehemu yoyote ili nisikuvunjie heshima. pls changia bwana.
mapenzi ya siku hizi asilimia kubwa ni kuvaliana vyupi ..sasa utavaa za wangapi? Yaani ugegedwe kote kote kisa ndoa? Bora niikose ndoa mi i can accomodate one person only yooo! Mapenzi ni kujidedicate na kujicommit jamani! Huwezi penda watu wawili maotkeo yake utashindwa kuperform vizuri na utakosa koteunajua concept ya ndoa nayo katika dunia ya utandawazi hii imekuwa ngumu sana kuijadili.
Kwanza waliowafundisha mafunzo hayo ya uchumba ni watawa au watu wenye ndoa zao?? Nataka kupima uzoefu wao wa hali halisi. Mtu anayekufundisha theory ya kuogelea wakati si mwogeleaji ni ngumu sana kujua changamoto za swimming pool, bahari, mto na ziwani. Mengine ana-assume tu kumbe ndivyo sivyo. Hakuna kitu kilichokuwa naona muujiza kama 'alteration in rocks' lakini kiuhalisia ize tu, anyway. Changamoto ya kwanza.
Pili, kuwa na marafiki wengi, afu mchumba mmoja, makusudio yake yalikuwa mchumba mkishindwana unateua rafiki mwingine kuwa mchumba?? Kama ndio, nafasi ya upendo iko wapi? Je, wana-assume kuwa upendo ni equally distributed kati ya marafiki au wachumba tofauti??? Changamoto ya pili.
Lakini pia, ishu ya kuwa na plan b katika dunia ya leo ambayo asilimia kubwa ni kuvuana kyupiz kabla ya ndoa inakuwaje? Nafasi ya uaminifu? Kama wakati wa uchumba tu ambapo bado unamhemuko wa mwenza wako, hamu haikuishi una plan b, je mkiingia kwenye ndoa? Pale ambapo umeshajua mapungufu yake anakoroma usiku, akila anarusha chakula, labda ni insecure. He is no longer exciting, utakuwa mwaminifu?? Je wakati anashambuliwa na magonjwa kama kisukari, utakuwa mwaminifu?? Je ambapo hana uzazi, utakuwa mwaminifu??
Je wapenzi mtakuwa mnaaminiana wakati mnajua kila mmoja alikuwa na plan b wakati wa uchumba?? Changamoto ya tatu.
Lakini pia, unapokuwa na plan b, wakati plan a iko active, una uhakika kiasi gani plan b itakuoa pale a mambo yanapokwenda mrama? Je plan b nayo ikiingia mitini? Kutakuwa na haja ya kuwa na plan c and d labda??
Aisee, ndoa na mapenzi hayana mahakama wala insurance kwa mtizamo wangu. Noana hapa plan b inataka kutumika kama insurance hivi.
Unajua concept ya ndoa nayo katika dunia ya utandawazi hii imekuwa ngumu sana kuijadili.
Kwanza waliowafundisha mafunzo hayo ya uchumba ni watawa au watu wenye ndoa zao?? Nataka kupima uzoefu wao wa hali halisi. Mtu anayekufundisha theory ya kuogelea wakati si mwogeleaji ni ngumu sana kujua changamoto za swimming pool, bahari, mto na ziwani. Mengine ana-assume tu kumbe ndivyo sivyo. Hakuna kitu kilichokuwa naona muujiza kama 'alteration in rocks' lakini kiuhalisia ize tu, anyway. Changamoto ya kwanza.
Pili, kuwa na marafiki wengi, afu mchumba mmoja, makusudio yake yalikuwa mchumba mkishindwana unateua rafiki mwingine kuwa mchumba?? Kama ndio, nafasi ya upendo iko wapi? Je, wana-assume kuwa upendo ni equally distributed kati ya marafiki au wachumba tofauti??? Changamoto ya pili.
Lakini pia, ishu ya kuwa na plan B katika dunia ya leo ambayo asilimia kubwa ni kuvuana kyupiz kabla ya ndoa inakuwaje? Nafasi ya uaminifu? Kama wakati wa uchumba tu ambapo bado unamhemuko wa mwenza wako, hamu haikuishi una Plan B, je mkiingia kwenye ndoa? Pale ambapo umeshajua mapungufu yake anakoroma usiku, akila anarusha chakula, labda ni insecure. he is no longer exciting, utakuwa mwaminifu?? Je wakati anashambuliwa na magonjwa kama kisukari, utakuwa mwaminifu?? Je ambapo hana uzazi, utakuwa mwaminifu??
Je wapenzi mtakuwa mnaaminiana wakati mnajua kila mmoja alikuwa na plan B wakati wa uchumba?? Changamoto ya tatu.
Lakini pia, unapokuwa na Plan B, wakati Plan A iko active, una uhakika kiasi gani Plan B itakuoa pale A mambo yanapokwenda mrama? Je Plan B nayo ikiingia mitini? Kutakuwa na haja ya kuwa na Plan C and D labda??
Aisee, ndoa na mapenzi hayana mahakama wala insurance kwa mtizamo wangu. Noana hapa Plan B inataka kutumika kama insurance hivi.
Mh! Unaweza uka'explain uhusiano wa hapo kwenye red na kuachana kwenu please?Kaunga may be hapa niseme ukweli kuhusu mimi.
mume wangu alikua rafiki yangu wa kawaida sana, yaani alikuwa ni good friend kwangu hope Mentor unajua vyem this histry. mchumba niliyekuwa naye ambaye alikuwa ni mhaya siku aliponiboa tu nilikwenda kwake kumlalamikia, na nilipochoka but sjui nini kilitokea yeye akaingia kuwa mchumba.
.
Bahati mbaya kuna mambo mengine hayahitaji kuwa na 'plan B'
Mfano katika hili la mahusiano, ukiwa na plan B tuu jina litakalo kufaa bila kupepesa macho ni MALAYA.
Ni kama muumini wa dini flani eti awe na kadini kengine pembeni just incase! Mmh!! Hapana.
The only plan B katika hilo ni kujiondoa kama huyo unayemtegemea hakufai, au ameku'disapoint unakuwa singo kwa muda then ndio upate mwengine.