Tujadili namna tunaweza kusaidiana kuondokana na pepo maskini

Mkwawabongo

Senior Member
Jul 28, 2015
154
116
Attachment inaonyesha mikoa yenye ahueni na mikoa fukara. Je hii ni dalili gani?
Mikoa Maskini Zaidi
1.Kigoma-Lake Tanganyika, Mahale
2.Geita- 4th largest Gold deposits in Africa
3.Mwanza- Lake Victoria
4.Singida- Nadhani kuna Almasi

Mikoa yenye Ahueni
1. Dar es salam- Bandari, Airport
2.Kilimanjaro- Tourism
3. Arusha- Tourism na Madini ya vito
4. Pwani- Uswahili
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    31 KB · Views: 27
Back
Top Bottom