Ama kweli binadamu hatosheki..waliwahi kusema wahenga wa Kiswahili..ukute kabla ya kupata hiyo kazi umelialia sana kwa kukosa kazi.TGS D ni kiwango cha mshahara kwa mtumishi mwenye shahada ya kwanza anaefanya kazi Serikali Kuu na Serikali za Mitaa (halmashauri). Baada ya makato ya PAYE, NHIF na TUCTA kiasi kinachobaki ni around Tshs. 540,000/-. Hapo sijaweka makato ya HESLB.
Sasa hapa tuijadili hii 540,000 inayobaki. Je, inaweza kuendesha familia kwa watumishi walio mjini DSM, Arusha, Mwanza, Tanga na Mbeya?
Kwa jinsi gani kiasi hiki kinaweza tosha:
1. Kulipa kodi ya nyumba
2. Chakula cha familia mwezi mzima
3. Nauli ya mtumishi kwenda na kurudi kazini hasa DSM
4. Mavazi ya familia
5. Chakula cha mtumishi akiwa kazini
6. Elimu ni bure ila kuna nauli na hela ya kula mtoto kila siku
7. Bili ya maji, umeme na king'amuzi
Leteni uzoefu hapa mnawezaje kumudu haya yote?
Karibu kwa mchango wako
Asikubali yeye nani?Kodi ya nyumba kiasi gani hapo?
Mke wako anakubali harage dagaa kila siku?
Ukiwa na mke maana yake utakuwa na mtotoKwani mnalala vyumba tofauti?
😃😃😃😃Elewa mshahara ni kwa ajili ya dhamana ya kukopea, maisha usukumwa kwa urefu wa kamba.
Hii nchi INA kazi ya ziada!!! Yan MTU unakaa unajadiki kitu kisicho na faida kwako hata 0/1% !??? DuuuTGS D ni kiwango cha mshahara kwa mtumishi mwenye shahada ya kwanza anaefanya kazi Serikali Kuu na Serikali za Mitaa (halmashauri). Baada ya makato ya PAYE, NHIF na TUCTA kiasi kinachobaki ni around Tshs. 540,000/-. Hapo sijaweka makato ya HESLB.
Sasa hapa tuijadili hii 540,000 inayobaki. Je, inaweza kuendesha familia kwa watumishi walio mjini DSM, Arusha, Mwanza, Tanga na Mbeya?
Kwa jinsi gani kiasi hiki kinaweza tosha:
1. Kulipa kodi ya nyumba
2. Chakula cha familia mwezi mzima
3. Nauli ya mtumishi kwenda na kurudi kazini hasa DSM
4. Mavazi ya familia
5. Chakula cha mtumishi akiwa kazini
6. Elimu ni bure ila kuna nauli na hela ya kula mtoto kila siku
7. Bili ya maji, umeme na king'amuzi
Leteni uzoefu hapa mnawezaje kumudu haya yote?
Karibu kwa mchango wako
Dah kweliMlinzi akijenga chumba kimoja huku umri wake 50's unasema maendeleo?
Boda boda wa wapi mkuu wanalaza 30k+ kwa siku nitume watu waje wapige kazi huko mkuu.?
- take home ya 540,000 ni Pesa ndogo Sana
- yaani bodaboda kumbe Wana Hela kuliko maafisa wa halmashauri, Kwa maana Kuna bodaboda kibao nawajua wanalaza 30,000/-+ Kwa mwezi kupata 900,000/- Sio issue, kunaa makondakta wanalaza 30,000/-+ Kwa siku
- Fanya mpango utafute ajira nyingine yenye Pesa au Fanya ujasiriamali.
Mdanganye mwenzio bodaboda gani analaza 30000
- take home ya 540,000 ni Pesa ndogo Sana
- yaani bodaboda kumbe Wana Hela kuliko maafisa wa halmashauri, Kwa maana Kuna bodaboda kibao nawajua wanalaza 30,000/-+ Kwa mwezi kupata 900,000/- Sio issue, kunaa makondakta wanalaza 30,000/-+ Kwa siku
- Fanya mpango utafute ajira nyingine yenye Pesa au Fanya ujasiriamali.
Tatizo mnadharau bodaboda sana, njoo Morocco huku uone bodaboda wanavyopiga pesa
Morocco?? Kwa waarabuTatizo mnadharau bodaboda sana, njoo Morocco huku uone bodaboda wanavyopiga pesa