Tujadili Mfumo wa Elimu utakaotufaa Tanzania. Maoni yataunganishwa na kufikishwa Bungeni na Serikalini

MM naona mchakato wa kubadilisha mfumo wa elimu kama ni sirias basi uchukue hata miaka kumi na mitano. Hili swala linahitaji umakini mkubwa sana siyo jambo la kumpa kiki rais yoyote ambaye atakuja madarakani na kutoka. Hili ni swala la umuhimu kwa vizazi vingi vijavyo vya watanzania
 
Ni maoni ya kipindi cha mabadiliko kwa muda na kujaribu maoni ya wadau mapema iwezekanavyo
 
Tuamue kutumia lugha moja ya kufundishia kuanzia shule za awali hadi chuo kikuu..kama ni kiswahili ama kiingereza.

Pia shule ya msingi iwe miaka mi5 tu.

Kila mtoto aende jeshi mwaka mmoja..pia kila ngazi kuwe lazima mtoto aende veta mwaka mmoja akasomee ujuzi anao uhitaji.

Shule za vipaji na michezo zipewe kipaumbele pia.

Tunahitaji vocational education zaidi kuliko academic education.

Wabunge wawe wenye levo ya digrii..udiwani diploma uwenyekiti certificate.

#MaendeleoHayanaChama
 
Elimu vitendo iwekwe na sayansi ya kutongoza, kupika, maadili na desturi za ujumla (general culture and discpline) kilimo kirejeshwe na stadi za kazi, elimu msingi iongezwe hadi darasa la 10,elimu ya jinsia iwekwe kama somo kabisa shule za sekondari. Mengine wadau wataongezea
 
Back
Top Bottom