Najua wengi wangesema hivyo kama wewe lakini inawezekana kabisa. Uvivu wa kufikiria ndo unatufanya tusitambue haya. Wewe unaamini kuwa hatuwezi kuwa na database ya nchi hii? We unakubali kuwa matuta ni suluisho? Hiyo miaka kibao unayoiongea watakuwa wamekufa wangapi ka matuta tu achilia mbali mwendo kasi?
Mradi wa anuani za makazi ya watu alieyeuanzisha ni mwananchi ama viongozi wako? Mbona hausikiki tena? Narudia ni uvivu wa kufikiri tu ndo unaotufanya tuwe hapa!
Mkuu nje unakusudia Ulaya, Marekani? usiende huko kote tembelea hata kwa jirani zatu tu hapa Afrika mashariki mbona mambo ni tofauti na hapa kwetu,experience yangu ya Uganda, Burundi na Kenya inanionesha alama za barabarani ni nyingi zaidi ya matuta especially kwenye highways. Taztizo ni nni? ignorance ya madereva au watumiaji wengine wa barabara au wote?
Mkuu hapo nakukatalia nakwambia yaani uzembe na bila matuta na uzembe na matuta ajali za uzembe bila matuta ni nyingi mno! hebu chukua mfano mdogo tu, mtaanai baada ya kuwekwa matuta kesi za watu kugongwa zimepungua! Kaizer kuna madereva careless sana! ukishangaa mara mara moja wamepita na wewe!halafu mkuu Eeka Mangi apo umeongea la maana...hivi tukifanya research ya wahanga wa ajali za bara barani wangapi chanzo kikubwa ni uzembe wa madereza, na hata baada ya kuweka matuta ajali zinaongezeka tu
Na hapo uombe traffic asikuone! manake 30K inahusu chaaaap!
yote hiyo? khaa 5
haki ya nani sitoagi zaidi ya hiyo tena hapo unakuta nina haraka ya kuwahi mahali otherwise nipo tayari kabisa tupotezeane muda coz ya 5k, bia mbili ati hapo, hahahahha,
hahaaa na chenji inarudi kutegemeana na bar....lol
Nyamayao na Kaizer...Yaani kumbe nyie ndio mnainyima serikali mapato....badala mlipe fine kwa serikali ili isadie kujenga matuta mengi zaidi nyie mnatoa kidogo dogo? :A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry:unaona sasa, mie mara kibao namcal msukuma nimekamatwa, hapo tumefanya ubishani wa kumpa 5k,hahahaha, kuna jmosi moja niliimalizia kituoni, mwanamke nimegoma kutoa 5k, kuna trafiki wawili wa kike wananichukia mbaya kabisaaa, (sikuwapa walichotaka)hahahahaha yaani wameshika no ya ka vitz kangu kama sala ya baba yetu, wakiniona kuanzia kuleeee lazima wanipige mkono na mkwara wa kike kike juu.
kama huku moshi wazungu wakishuka kia mituta wanayokutana nayo wanaona washafika mlima kilimanjaro hivo
aisee umepoteaje ? nasikia huko mo town kumegeuga uwanja wa tigo ...wachaga wanakula tigo balaa kwa mabeki 3 wao....hebu nirushie hiyo cd nione maana siamini miehahahahha we una balaa wewe! khaa
Kwa Tanzania mimi ninaona matuta ni sawa kabisa na ninazo sababu kuu 2.
kweli mbeb yaani ukiangalia speed dereva anapita nayo kwenye zebra...unajiuliza huyu mtu alisoma hata ka chuo ka kata kudrive kweli?Kwa jinsi ya uendeshaji wa magari wa Tanzania ulivyo mimi naona hayo matuta yaliyopo hayatoshi kabisa.
Ingekuwa juu yangu ningeweka matuta kwenye barabara kila baada mita moja ili kutia watu akili.
The reckless driving and the reckless disregard for the safety of others shown by many of the drivers is beyond words!
I say we need more speed humps on just about every road, street, highway, expressway, and any other motor-vehicle passable way.
halafu mkuu Eeka Mangi apo umeongea la maana...hivi tukifanya research ya wahanga wa ajali za bara barani wangapi chanzo kikubwa ni uzembe wa madereza, na hata baada ya kuweka matuta ajali zinaongezeka tu
Lakini kwanini uvunje sheria?Rejao, nadhani unajua hawa watu walivyoving'ang'anizi, au labda wa huku kwetu njaa zimewazidi, hapo una haraka utafanyaje sasa na yeye anaona kabisa kama unaweza kumpa ila unambania? atakuambia paki pembeni anaendelea kupiga mikono kwa wengine utakaa hapo weee ili mradi akukomoe tu.
kweli mbeb yaani ukiangalia speed dereva anapita nayo kwenye zebra...unajiuliza huyu mtu alisoma hata ka chuo ka kata kudrive kweli?
Kwa jinsi ya uendeshaji wa magari wa Tanzania ulivyo mimi naona hayo matuta yaliyopo hayatoshi kabisa.
Ingekuwa juu yangu ningeweka matuta kwenye barabara kila baada mita moja ili kutia watu akili.
The reckless driving and the reckless disregard for the safety of others shown by many of the drivers is beyond words!
I say we need more speed humps on just about every road, street, highway, expressway, and any other motor-vehicle passable way.