Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 2,882
- 7,916
Pumbavu sana, nyie ndiyo mlisema polepole amekamatwa. Wewe, kikwete, rostam na abduli pumbavu zenu.Huyo mwanajeshi fake Tesha hutamuona tena yuko kwenye mikono salama.
Pumbavu sana, nyie ndiyo mlisema polepole amekamatwa. Wewe, kikwete, rostam na abduli pumbavu zenu.Huyo mwanajeshi fake Tesha hutamuona tena yuko kwenye mikono salama.
Kamanda gani huyo ameuliwa?Inatakiwa ujue cheo cha Captain kina nguvu gani Jeshini.
Inatakiwa ujue kuwa nje ya kuw Captain pia ni MKUFUNZI.
Inatakiwa ujue taratibu za Kijeshi si za kwenye Mitandao, mambo yao huisha kimya kimya.. ndani kwa ndani.
Inatakiwa ujue ule uvumi wa yule Kamanda anayedaiwa kuuliwa hivi karibuni ameacha maswali.. na ndani ya hayo mswali kuna watu wameumia na hao watu wapo nyuma ya mtu.
Huo sio uhaini. Sana sana unaweza kuuita utovu wa nidhani.Salaam kwenu Wana great thinker.
Naomba niwashirikishe kwenye mijadala huu KIJASUSI zaidi kwasababu jamii forum ni hom of great thinkers,hatuchukulii jambo juu juu.
Wakuu,Jana,sote tunatambua alijitokeza mtu aliyejitambulisha kama afisa wa JW mwenye cheo Cha captain kwa jina anaitwa TESHA. Captain huyu aliongea mambo mazito mno kuhusu Mwenendo mbaya wa Taifa letu na akaenda mbali zaid kutaka jeshi letu pendwa lichukue udhibiti wa nchi kunusuru hali hyo mbaya ya Taifa letu inayoweza kusababisha madhara makubwa kama itaachwa bila ya kuchukuliwa hatua na jeshi.
Mambo yaliyonistua kiasi Cha kutaka TULIJADILI KIJASUSI.
1/ Jeshi letu halijakanusha chochote katika hotuba ya captain TESHA. Halijasema kama TESHA ni askari wao au alikuwa ni wao lkn kafukuzwa au kasimamishwa au vip
2/ Mpaka Sasa hatujui TESHA amechukuliwa hatua Gani na bado jeshi lipo kimya
3)Kuna tetesi zimezagaa kuwa Kuna maafisa wengi Wana msimamo kama wa TESHA baadhi Yao picha mjongeo zinasambazwa kwenye mitandao zikiwaonesha wakiwa na bunduki bila ya kuonesha sura zao wakieleza misimamo Yao waziwazi.
Sasa tujadili KIJASUSI: Katika hali kama hii iliyopo nchini mwetu,utekaji na mauaji,hali ngumu ya maisha kweli inawezkana vip mtu mwenye kazi Tena anacheo kikubwa jeshini achezee ajira yake vile huku akijua kitendo kile ni kuweka rehani maisha yake kwakua ni uhaini wa wazi na adhabu yake ni kifo? Mwenzenu Imani inanituma kuwa huko jeshini hakuko sawa na Hadi Sasa unaona kimya husikii hatua zozote zilizochukuliwa dhidi ya TESHA kwakua Kuna nguzo kubwa na muhimu TESHA ameiegemea na ndo ambayo imempa ujasiri wa kuchezea ajira yake na uhai wake.
Tusaidiane kudadavua hili kwa jicho la KIJASUSI,wenzetu mnalionaje?
Umebaki wewe tu!Pumbavu sana, nyie ndiyo mlisema polepole amekamatwa. Wewe, kikwete, rostam na abduli pumbavu zenu.
NaamTena wawafumue haswa
Na useme kabisa akitokea tena kuja kuzungumza upigwe dole la kati kabla ya kutatiliwa malinda kwa mara nyingine tena maana alisema atarudi tena kuongeaHuyo mwanajeshi fake Tesha hutamuona tena yuko kwenye mikono salama.
Nyumbu tuliza tako lako.Na useme kabisa akitokea tena kuja kuzungumza upigwe dole la kati kabla ya kutatiliwa malinda kwa mara nyingine tena maana alisema atarudi tena kuongea
Wajingajinga km wewe hua nawaweka kwenye ignore list mazafakaNyumbu tuliza tako lako.
Kuniweka kwenye ignore list hainizuii kuchangia mada zingine hapa JF wewe nyumbu!!!Wajingajinga km wewe hua nawaweka kwenye ignore list mazafaka
Ati Mafwele alisema Kapteni Tesha ametoroka kaenda nchi za nje!Huyo mwanajeshi fake Tesha hutamuona tena yuko kwenye mikono salama.
😁😁😁😁Kama umesomea cuba utagundua jeshi letu limefurahishwa sana na kitendo cha Captain wake kukubali kuliwakilisha vyema kwa wananchi.
Jeshi limeahidi kulinda wananchi kwenye maandamano, jeshi limeahidi kuwafumua polisi watakaojaribu kubugudhi wananchi. Asanteni sana JWTZ
Ponjoro wa Kinondoni vipi habari za Kinondoni!!? 🤣🤣Kama umesomea cuba utagundua jeshi letu limefurahishwa sana na kitendo cha Captain wake kukubali kuliwakilisha vyema kwa wananchi.
Jeshi limeahidi kulinda wananchi kwenye maandamano, jeshi limeahidi kuwafumua polisi watakaojaribu kubugudhi wananchi. Asanteni sana JWTZ