Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,355
Sina uhakika kama ipo nchi yeyote dunia hii iliyoingia kwenye uchumi wa viwanda kwa kuanzia na viwanda vya nguo na matairi.
Viwanda vinatakiwa vianzie kwenye chakula, yaani kilimo.
Ukiwa na viwanda vya kusindika chakula utaongeza uzalishaji kwenye kilimo. Kutokea hapo ndipo mahitaji ya bidhaa zingine kama plastic containers, metal containers, maboxi nk yatakua na viwanda vyake vitakuja automatically
Binafsi sioni uchumi wa viwanda ukifanikiwa hata kwa 0.1% kwa bajeti hii ya Tsh trilioni moja kwenye kilimo... never