Kweli Tanzania ya viwanda inawezekana,
Ila miaka hii Mitano Isihesabiwe kama ni ya viwanda kabisa Bali maandalizi ya Viwanda halisi.
Maandalizi haya yafanywe katika mitazamo ya watu, kilimo, Utafiti wa kina wa masoko ya bidhaa, Miundombinu, Umeme,
Hata Kiongozi wa china Aliponza mabadiliko ya kweli ya kiuchumi Hakuwalaghai Wachina ila aliwambia vitu katika uhalisia.
Kwamba China Inakwenda kuwa Nchi tajiri Sana, Lakini Hatutakuwa wote Matajiri kwa miaka hii mitano ya kwanza. Bali wataanza wachache sana wengine mtakuja baadae. Hii ilikuwa miaka ya 1978, lakn miaka ya 2000 china inaongoza kwa kuwa na matajiri wengi vijana duniani kote. Soma kitabu DENG XIOPING AND TRANSFORMATION OF CHINA.
REALISTIC GOALS AND VISION ISIYOJICHANGANYA NA SIASA NDIO ITATUTOA HAPA. UKWELI NDIO UTALIPONYA TAIFA HILI NA KULIWEKA HURU, HURU KWELI KWELI NA SIO VINGINEVYO. HAKUNA DHAMBI KUBWA KAMA YA UFUASI NA KUJIPENDEKEZA.
NINI KIFANYIKE;
tuwaambie wananchi kuwa HUU NI MCHAKATO WA PHASE YA KWANZA YA TANZANIA YA VIWANDA NA USIMAMIZI WA HALI YA JUU WA FEDHA ZA UMMA, MFANO Baada ya miaka mitano hatutakuwa na haja ya kuimport MITUMBA BADALA YAKE NCHI ITAKUWA NA NGUO SPECIAL NZURI NA ZAKUTOSHA KWA BEI RAFIKI, SIO KUPANDISHA KODI ILI ZISIJE HUTU HATUJUI MASKNINI WASIOKUWA NA UWEZO WA KWENDA KWENYE MABOUTIQUE NA MADUKA YA KISASA HAWAJAWEKEWA MBADALA.
MAONI YANGU
MIAKA HII MITANO ILIPASWA HIWE YA VUGUVUGU LA KUIBADILISHA NCHI KUWA TAIFA LA KIJASILIAMALI TUKIANZA NA BADILIKO LA FIKRA KUHUBIRIWA NCHI NZIMA, MIAKA MITANO IJAYO VIWANDA VITAKUWA NI MATOKEO YASIYOPINGIKA NA YATAKUA AUTOMATIC.
MFANO