Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
Jackson ni mtu wa Njombe lakini anaishi Dar es Salaam, kijana mtanashati tu na mwenye kazi yake nzuri. Lily ni mdada wa njombe lakini anafanya kazi Mafinga (ni nurse); vijana hao wawili wanajuana na familia zao zinajuana. Mawasiliano kati yao ni ya simu na barua pepe, wamependana na kuamua kuwa wachumba.
Baada ya taratibu zote, hatimaye wamefunga ndoa ya kikristu kanisani (mpaka kifo kiwatenganishe). Usiku wa harusi, ambapo ndipo haswaa ndoa ilipopaswa kutimia (uchumba wao ulikuwa wa kikristu, hakuna tendo la ndoa kabla ya ndoa), ndipo tatizo lilipotokea. Bwana harusi, ana deformation kwenye penis yake; yaani uume umegawanyika kichwani hivyo kuufanya kuwa mpana sana kiasi kwamba ikawa vigumu kumuingia mkewe (hakuwa bikira).
BInti alipata maumivu makubwa sana, hadi kutoka damu (nafikiri alichanika); kiasi kwamba tendo la ndoa halikuwa la furaha tena. Bibi harusi hakukubali tena kushiriki tendo la ndoa na mumewe, na akamlaumu sana, na bwana harusi akasema yeye kazaliwa hivyo na alifikiri mkewe atamvumilia na kumtunzia siri. Baada ya fungate (hawakoDO tena) bwana harusi alirudi kwake Dar na bibi harusi akaenda kwenye kituo chake cha kazi.
Recently wameongea, na mume amempa go ahead mke in case anataka aanze upya na mtu mwingine. So mke ameongea na mshenga (ambaye ndio alisimulia) afanyaje?
Maswali niliyojiuliza:-
1. Kwanini mwanaume hakumuambia mchumbaye hali yake kabla?
2. Kiapo cha ndoa kimepoteza maana kiasi kwamba unaweza fanya majaribio ya kuingia na kutoka just like that?
3. Hivi mdada ameshindwa kweli kumvumilia (anyway sijui hiyo deformation ni mbaya kiasi gani), lakini nina imani angeweza kuishi naye some how.
4. Poor Jackson, wazazi wake hawakuweza kufanya kitu alivyokuwa mdogo.
Anyway karibuni kuchangia.
NB This is true story