MADARAKA DANIEL
Member
- Oct 26, 2012
- 93
- 22
Kumekuwa na tabia ya kuitana majina matamu matamu kama vile honey,sweet,baby, hubby e.t.c
Je kuna faida gani ya kuitana majina haya katika mapenzi, na ni nini madhara yake endapo tabia ya kuitana majina haya matatu kupungua?
Karibuni wadau tujadili
Je kuna faida gani ya kuitana majina haya katika mapenzi, na ni nini madhara yake endapo tabia ya kuitana majina haya matatu kupungua?
Karibuni wadau tujadili