haya maisha ni matamu sana kujiwekea muda wa kumshuku mtu......
yaani nikikushuku tu unakaa pembeni ya maisha yangu. haijalishi wewe ni ndugu yangu au mpenzi. napenda kujiachia. sipendi kufanya kitu nikiwa nawaza NIKIONWA AU KUSHTUKIWA ITAKUWAJE....
nafurahia ninavyoweza kushi na kumsimulia mpenzi wangu upuuzi wangu na mambo yangu mazuri nikiwa nina uhakika wa either kupongezwa au kupewa ushauri bila kufikiriwa mpuuzi kwa jambo nililofanya.
machale machale machale...... hivi kwa nini niwe na mtu ambaye naishi naye kwa machale?
kwa nini niendelee kumtumia ndugu ambaye najua natakiwa kufanya naye kazi kwa machale?
hivi unajua unapojihusisha na watu kama hao unatumia muda wako mwingi sana kujilinda kuliko kufanya mambo ya maendeleo?
hata kama ni boss, ukiwa unaishi naye kwa machale utaishia kufanya yale yanayompendeza yeye tu badala ya kupanua wigo wa professional yako kwa kujaribu vitu vipya ambavyo vitaletea faida ofisi.
naomba unipende kama nilivyo napenda hela usiniache!!!
kila kitu kiende kwa kiasi..
sio vizuri kuishi roho juu at all times na pia sio vizuri kuishi kama uko naive at all times..
mimi sheria yangu ni,kama mtu hajanipa any reason ya kumdoubt,why should i?nitajiskia vibaya sana pale ambapo namhisi mtu vibaya(bila sababu)then inakuja kutokea ndo the best person ever..
hata kama i have had bad experiences with trust issues ila new people deserve new experiences na kama ni wazamani basi nitakudelete kidogo kidogo,nikiona ndo kamchezo kako then namdelete kabisa.kuliko kuishi na mtu ambae imani yako kwake ni zero,huna uhuru hata wa kuongea..
nakubaliana pia na wengine,thinking you are the best,you are always right,you know better,you are a saint in the making etc all some up to being selfish..na inaweza kuwa sababu kubwa.
And asante for the breath of fresh air,new post!:smile-big:
Huwa naikubali sana michango yako, na thanks a lot kwa kuibless thread hii kwa mchango huu makini. Hata nami naona si fair kumhisi mtu ubaya kutokana na makosa ya mwingine.
utakua ruba wewe sio bure
If a person takes advantage of your trust once SHAME ON HIM but twice dear, then its SHAME ON YOU definitely! In God we trust but in humans we speculate!
And again,life is too short kuishi kama ndege sa zote wondering nani atakumaliza..
Aisee, then dunia si mahali salama pa kuishi.
Yaani dunia ya leo ndipo ilipofikia, too much disappointments lakini pia watu wamekuwa so unhappy kiasi kwamba hata rate ya suicide imeongezeka; why? No one to talk to as you shouldn't trust a soul. I think it is the devil's trick hiyo.Dunia bila kuishi kwa "machale" haiwezekani na kwa level ya mtu mmoja mmoja bila kuwa na "machale" huwezi "kufanikiwa"...!
Exactilylakini hebu tuwaze hiv
HIV MTU KUWA TRUSTED KUNAANZA NA KUWA TRUSTFUL ENH?
Vina mahusiano hivyoLAKINI JE KUWA TRUSTFULL KUNAKUFANYA UKAWA TRUSTING?
Unatakiwa ujue kujiamini kwanzakipi kinaanza na kumaliza hapo?
Mpaka wa hii kitu ni kutegemea na wewe unavyoijuamachale mpaka wake ni upi?
Machale hayatakiwi yatafutwekipindi kipi na kwa nani natakiwa kuwa na machale?
Sidhani kama hili linawezekanamachale yanaweza kubreshwaje?
Kuna mtu kutokumuamini mtu mwingine kwasababu yeye hajui kuaminina nikiwa sikuamini ndo unakuwa muaminifu au ndo unakuwa sio muaminifu kabisaa?
Kwasababu maisha hayawezi kwenda bila Imanilakiiiini hiv kwanini nikuamini?
Kwasababu ni hitaji la kimaishana kwanini niamini kuwa unaniamini?
Kwasababu anaaminikakwanini niseme sina shaka na huyu aua na hiki?
Hata hili unataka nikujibu mimi?kuamini kuliwahi kunipa faida na hasara wapi?
Nimeshatia timu tayari!dah! Eiyer come zis way!
Kama hajakupa sababu ya kutomuamini hautamuamini kisa hajakupa sababu za kutosha za kumuamini?
Kuna ile ya kushindwa kumfanyia ubaya mtu hata kama unewazia just kwakuwa anakuamini. Kwa maneno mengine trust can be contigious, l mean waweza muinfluence mtu positively kwa kumtrust na pia waweza mpeleka mtu further apart kwa kuishi naye kimachale.
huyo dogo maswali yake utagundua tu ni mwalimu originally.......No one could have put this better than this. Hebu nisaidie kumjibu dogo hapo juu maana maswali ni ya kiPhd.
Not always, kuna trust ambazo ni zinaambikiza kuna zingine haziambukiziki
Each case will be treated differently. Na kumuamini mtu katika jambo A, haimaanishi utamuamini katika mambo yote. Kuna mtu unamwamini katika jambo A 100%, lakini unamwambini katika jambo B 40%.
Mfano, kuna mtu unaweza mkabidhi mamilioni yako ayapeleke nyumbani, na yakafika bila hiyana lakini mtu huyo huyo huwezi mkabidhi mkeo wala binti yako hata kumfikisha mlango wa chumba ulichopo, atamtongoza tu, iwe kwa maneno au vitendo.
ruba ndo nini?