Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
Baada ya rasimu kukamilika basi ni muda muafaka wa kuanza kujadili utekelezaji wa mambo muhimu yaliyomo katika rasimu.leo hii nimejikita kwenye suala nyeti la ulinzi na usalama hasa hasa tukilitazama jeshi letu la wananchi wa Tanzania.
Wanawake watapewa fursa ya kujiunga na jeshi kwa uwiano wa 50 kwa 50.
Je utekelezaji wa suala hili utakuwaje?
Utekelezaji wake utaanza lini?
Utekelezaji wake una athari gani kiusalama?
Utekelezaji wake una athari gani kisaikolojia?
Na maswali mengine yatakayojiri.
Tafadhali sana kwa mods,usiunganishe uzi huu.
Tafadhali sana wadau tusichangie kwa jazba.
cc: Pasco nguruvi Ritz

Last edited by a moderator: