Tujadili 50/50 ndani ya JWTZ

Tujadili 50/50 ndani ya JWTZ

Kitu hicho cha 50/50 jwtz hakiwezi kutokea kamwe!!

Kiukweli wanawake wanadai haki zao sawa lkn kimaumbile kuna baadhi ya sehemu wanatakiwa wakubali na kuwa wapole.

Kwa mfano mizinga mwanamke harusiwi kwa kwani ile shock wave huwaletea matatizo ktk viungo vyao vya uzazi.

So kiufupi wao ni kwa ajili ya kuwa ktk sector ambazo huwa hawaendi vitani.
 
kama ni ya warioba naye alibugi hapo hakuna kitu kama hicho
 
MapumbaaaffFf sana. Eti wanadai ktk historia Tz ndo moja ya nchi za kwanza kuwa na 50-50, mataifa makubwa sio kwamba hawakuiona, ila waliona ni upumbaffu. Sasa hapa Tz yaweka historia ya ujinga. Hapa kweli wamebugi. Kila mtu ajiunge na taasisi kwa nguvu zake. Upumbafffu wa 50-50 hamna. Nitapiga kura ya No, wakichakachua, fvck @ and every part of them. Pambaaaafhu zao sana, hawaoni mbele. Hivi hii ya 50-50 ilikuwapo kwenye rasimu ya Warioba?
hao wanawake jeshini na hata polisi historia ni kwamba walikuwa wanaingizwa tu kwaajili ya kuwafurahisha wageni wajapo jeshini, mabos wao na ukame wakiwa vitani utapungua kwa wanaume. huo ndio ukweli, na hakuna mwanajeshi mwanamke ambaye hajawahi kuhujumiwa kingono, wote walishapitiwa tena kijeshijeshi. ukioa polisi au mwanajeshi andika umeumia na wala usijisifu.
 
Huo ujinga wasiuingze jeshni,uishie huko huko dodoma.
 
Mkuu hiyo futa kabisa tena delete futa kabisa, #JWTZ ni taasisi nyingine, ukitaka uamini hicho fatiliaa kama kuna Mwanamke aliwahi kumzidi #MEJA #GENERAL #MADAWILI cheo jwtz toka kabla ya mkoloni mpaka dk hii unayosoma hii kitu.....na sio kwamba wanawake hawapo jeshini wapo shazi tu ila sio rahisi hivyo kma unavyo dhani eti 50/50JWTZ....FUTA DELETE KABISA mkuu Jackbauer

Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama ni Jenerali miss chagga!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama ni Jenerali miss chagga!!!!!!
Hii inawezekana kwa hapa kwetu Tz tu. Kama wapo waliopata hadi Cheo cha Meja Jenerali sasa kipi kitashindikana. Nadhani ipo siku Tz tutasikia Mhashamu mama Askofu Naomi au Shekh Mwajuma. Hakika Wonders Shall Never End
 
Last edited by a moderator:
ha ha hahaaaaa mkuu kwanza hii ni moja kati ya taaliuma ya kudharaulika sana nina mdogo wangu kamaliza mwka jana eti leo trafick sasa najiliza hivi anajua hata maadili ya kazi kweli afuuu kuna watotooo wazuuuuriiii humoooooo

Unaongea unachokielewa au unaelewa unachokiongea?
 
Hii ndio inji ya maajabu.

I lov u sana tanganyika.
 
Throughout history and across the globe, the military recognized that men and women have different physical qualities; and correspondingly, women are thus prohibited from the majority of combat roles including special operations, infantry, and other ground roles that required a higher level of physical performance. Thus this draft constitution of ours with it 50/50 myopic approach to realities, will not work in the armed forces, mining, construction and seasafaris where physical qualities is the selection criteria!!! Tusipingane na mipango ya Mwenyezi Mungu, tutakuja kuangamia!!!
 
Not kidding hii ndio maana halisi ya 50/50

wenyewe kwamba jwtz itakuwa ngumu maana 75 ikipiga wanawake wote ndani radius ya 500m wanaanza bleed, je ikipigwa 130 si vizaji vinashuka, hujaweka kazi ya kwenye kifaru. hata marekani na ulaya hamna nchi yenye 50/50 jeshini. (wenyewe kazi yao wanaijua...)
 
Nina mke soldier na msomi ananipa stress ya kupokonywa na wakubwa ili wampe mawe begani.wakuu na hii 50/50 si ndiyo balaa!,maana ukimwona alivyo duh!
Vyeo Vya kijeshi especially officer's ranks kuanzia nyota moja/second Lieutenant na kuendelea havitolewi kiholela Kama unavyodhani. Afisa wa jeshi anapewa cheo na rais Baada ya kuhitimu mafunzo pale TMA Monduli au kwenye recommended vyuo vya kijeshi katika nchi ambazo tunafuata utaratibu mmoja wa kijeshi. Na vinavyofuata afisa wa jeshi anatunukiwa kotokana na katiba ya kijeshi inavyosema. So Hilo wazo la kupokonywa mke na kupewa uafisa wa jeshi kwa kuhonga penzi sahau. It only takes a advanced certificate, diploma, degree and masters to be an officer of Tanzania People Difence Force.
 
50*50 TPDF!? You must be kidding.... Tuache siasa kwenye mambo nyeti. Wanawake tangu kale hatuwategemei kuwepo mstari wa mbele kwenye mapambano. Ni nature tu! Basi!

yap!! mfano hai Gadafi alilindwa na mabodyguard wa kike ila alivotingwa wote walimkimbia!! hawafai hata kidogo, kama ni hivyo mbona hawapeleki maombi kampuni za ulinzi nao walinde usiku? tuwe serious kwenye mambo nyeti huku hakuhitaji viti maalumu
 
Mkuu hiyo futa kabisa tena delete futa kabisa, #JWTZ ni taasisi nyingine, ukitaka uamini hicho fatiliaa kama kuna Mwanamke aliwahi kumzidi #MEJA #GENERAL #MADAWILI cheo jwtz toka kabla ya mkoloni mpaka dk hii unayosoma hii kitu.....na sio kwamba wanawake hawapo jeshini wapo shazi tu ila sio rahisi hivyo kma unavyo dhani eti 50/50JWTZ....FUTA DELETE KABISA mkuu Jackbauer
Upo hai?
 
Back
Top Bottom