barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,804
siasa inatupeleka pabaya sana katika taifa hili,,, tunaposema 50/50 ya uwiano wa jinsia katika jeshi letu tayari hapa tunaleta shida kubwa katika jeshi letu,,, ,iko wazi kabisa mwanamke na mwanamme kimaumbile tupo tofauti sana katika utendaji kazi hasa wa hizi kazi za nguvu... lazima tujue tunapoligusa jeshi tunazungumzia ulinzi wa taifa letu...
tunapokuwa na 50% ya akina mama jeshini lazima ujuwe katika suala la kwenda front line na mikiki ya front line hawa ndugu zetu ni ngumu sana kuhimili na kama kunawatakaohimili basi hapo unazungumzia 1% ukichanganya na wanaume 50% ambao kitaalamu hapo front line watakuwa kama 30% na 20% percent wanapigania vita kwenye makaratasi na keyboard kwa hiyo front line utakuwa na 30% + 1% = 31% JE UNATEGEMEA NA UPANDE WA ADUI ITAKUWA 31% ???
tuwe wakweli MUNGU alituumba kimaumbile tofauti sana sasa tunapotaka kuendekeza ujinga tutaingia kwenye matatizo.. tu jiulize maswali kadhaa humu ndani...
WAPI MWANAMKE AMEKATAZWA KUJIUNGA NA JESHI?
WAPI MWANAMKE AMEKATAZWA KUSOMA MASOMO YA SCIENCE.
WAPI MWANAMKE AKEKATAZWA KUFANYA KAZI NGUMU? mfano kubeba zege na mizigo??
WAPI WANAWAKE WAMEKATAZWA KUWA MAENGINEER??
MBONA MITIHANI SHULE IKO SAWA, MWANAMKE NA MWANAMME WANAFANYA MTIHANI SAWA??
Hivi ni viti maalumu vilivyopitiliza. Yaonyesha walivyo 'walemavu'. 50-50 my ass, damn it!