Tuitafsiri hii ndoto

Tuitafsiri hii ndoto

mkuu kwani we ni nani kwenye nchi hii hadi uwaotee wakubwa badala ya familia yako?

au we ni Tumia akili yule wa kitengo nyeti anakuja na habari ni ndoto.
Kumbe kila mtu anapaswa kuota kwa mipaka ya familia yake?

Mwaka 2001 mwezi March nilikuwa Shinyanga kijijini Likonongo nikiwa na maafisa wa UNICEF na Wizara ya Afya kwenye mradi wa PHAST.
Katika mojawapo ya recap ya ahsubuhi niliwasimulia ndoto niliyoiota kuwa niliona marekani kuna moto na majengo yameporomoka. Niliandika kwenye diary maana nilistuka usingizini nikasoma Bible na Kusali maana niliona wafu wengi sana....

Miezi 6 mbele ndo ikatokea balaa la Sept 11. Nilichokiona kuhusu kuungua na kuporomoka kilikuwa sawia kabisa mkuu.

Nasema nimeota ndoto inayojirudia rudia lakini sikufanikiwa kuona sura.

Nikewaza sana kabla sijawashirikisha hapa. Inawezekana kuna mtu anaweza kutusaidia kwenye tafsiri.

Mimi siyo mtafsiri wa ndoto ujue
 
Kwa hiyo na hicho ulichoota Lazima kutatokea sio?mi nimejaribu kwa upeo wangu!!!halafu sijui kama nipo sahihi kiasi gani!!
 
Sidhani kama kuna ulazima lakini imenisumbua sana wiki nzima
 
Wiki mbili sasa naota ndoto inayoshahibiana kama mara nne hivi.

Kuna mkubwa, mtu mzito. Inawezekana ni mstaafu sijui, au yupo madarakani sijui bali YEYE ajua

Hayuko salama, yupo kwenye mikono inayoshahibiana na neno salama. Hali yake kiafya sijui, usalama wake kama ni wa uhakika sijui. YEYE ajua

Nimeota ndoto kuwa analazwa kaburini. Sababu ya mkono wa mtu sijui, au kudra za Mungu sijui. YEYE ajua.

Wana JF, hii ndoto imenisumbua sana kwa sababu ni kama tupo na watu wengi tunahudhuria mazishi ya mtu. Yes mtu mume na si mwanamke.

Je, inawezekana kaburi ni gereza au ni kweli kuna umauti upo.

Inawezekana kuna jambo linakuja na linaoneshwa kwangu mimi nisiyejua kuongea sawasawa.

Shughuli nzima ni mtanzuko wa kisiasa kwa sababu kwenye msiba watu walikuwa wamevaa nguo za kisiasa.

Mshana Jr tusaidiane hapo
Kuna kimya kingi chenye kuogofya sana.. Kuna vitu havisemwi popote lakini vipo.. Kuna ndoto kama hii ziko nyingi Lakini wengi hawana uthubutu wa kuzisimulia kama wewe.. Wengine wanadhani ni kioja cha kufikirika ama kutunga lakini wakati utasema
Ndoto yako ni ndoto maono..inajirudia na inasimulika na inakumbukwa! Tuupe muda wakati. Utasema!
 
Ndio ndio mkuu!mauaji yanayokithiri tena kwasababu za ajabu ajabu!!maono na nabii za ajabu ajabu kama za chinolo na joshua!!nyuzi za prediction kama za Tumia akili na TumainEli na Magamba matatu!!something is loading here let's wait!!hata wewe ulikuja humu na mpasuko ndani ya kijani!!!unaweza ukatuambia ni tahadhari zipi za kuchukua ili kuokoa uhai katika kipindi hiki ambacho kina sintofahamu kibao???ulinzi wa Raia sidhani kama unatiliwa maanani kwa sasa!!!ni hayo tu Mkuu!!!utawala unapotaka kubadilika watu hufa Sana kulipa Mabadiliko yenyewe!!Mama kaenda kwenye kiwanja cha kijasusi je kaenda kuomba MSAADA!!!?ngoja tuone kwakweli!!!
 
Kuna kimya kingi chenye kuogofya sana.. Kuna vitu havisemwi popote lakini vipo.. Kuna ndoto kama hii ziko nyingi Lakini wengi hawana uthubutu wa kuzisimulia kama wewe.. Wengine wanadhani ni kioja cha kufikirika ama kutunga lakini wakati utasema
Ndoto yako ni ndoto maono..inajirudia na inasimulika na inakumbukwa! Tuupe muda wakati. Utasema!
Naam mkuu.
Tangu nimeisimulia hapa nimepata amani kiasi fulani kwa sababu ilikuwa inanisumbua sana.

Naamini kwenye ukimya kuna subira na matumaini.

Nami najikita kwenye ukimya kwanza
 
Natafsiri kwa maono yangu nionavyo japo sio sahihi!!Mr smile ni mstaafu pia yupo madarakani kama Magamba matatu alivosema kwenye uzi wake kuwa aneongoza nchi yupo nyumbani amekaa wakati waliopo ofisini hawajui wafanye nini hadi wamuulize!!!inawezekana kuelekea miaka miwili ya Mwendazake wenye nchi yao hawajafurahishwa namna inavoendeshwa wakaamua wafuate protocol kama walivyoifuata mwanzo kwa kuanza na Kipipa ndio akaja mwenda kuzimu!!sasa wameamua kuanza na Mr smile ili macho malegevu atakapoona nyuki watakatifu wametua kwenye ofisi yake kama unabii wa chinolo usemavyo basi macho legevu kukiacha kitu halafu wenye nchi wataamua nani akae!!!nadhani ulichoota ni kifo cha Mr smile!!!!ngoja tuone!!
Duh.
 
A. Mr Smile
B. Mr Nchi kupigwa mnada.
 
Wiki mbili sasa naota ndoto inayoshahibiana kama mara nne hivi.

Kuna mkubwa, mtu mzito. Inawezekana ni mstaafu sijui, au yupo madarakani sijui bali YEYE ajua

Hayuko salama, yupo kwenye mikono inayoshahibiana na neno salama. Hali yake kiafya sijui, usalama wake kama ni wa uhakika sijui. YEYE ajua

Nimeota ndoto kuwa analazwa kaburini. Sababu ya mkono wa mtu sijui, au kudra za Mungu sijui. YEYE ajua.

Wana JF, hii ndoto imenisumbua sana kwa sababu ni kama tupo na watu wengi tunahudhuria mazishi ya mtu. Yes mtu mume na si mwanamke.

Je, inawezekana kaburi ni gereza au ni kweli kuna umauti upo.

Inawezekana kuna jambo linakuja na linaoneshwa kwangu mimi nisiyejua kuongea sawasawa.

Shughuli nzima ni mtanzuko wa kisiasa kwa sababu kwenye msiba watu walikuwa wamevaa nguo za kisiasa.

Mshana Jr tusaidiane hapo
Sijakuelewa mkuu I think namna ulivyoiwakilisha!
Ila ile ndoto kujirudia kuna ujumbe, soma Ayubu 33:14-18 mkuu
 
Habakuki 2:2-3
[2]BWANA akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji.

[3]Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.

KWA KUWA UMEIWEKA WAZI YAJAYO YANAHUZUNISHA
 
Nimeota jana nipo na mtoto wa dada wangu tulikuwa wote nyumbani pamoja na mdogo wangu marehemu ila baadae namuona marehemu ana umbo dogo sana sana
Mara nikaona mbwa nikawa nampiga mawe
Mara naona kundi la mbwa wengi sana wanamkimbiza swala mkubwa tena mwenye pembe ndefu
Wakamkamata wakawa mbwa wengi sana kila mmoja kakamata kipande chake sasa nikawa namwita mdogo wangiu( Marehemu) njooo unisaidie wakati huwa mbwa hawataki kumwachia yule swala
Nikawa natafuta mawe nikakosa na baada ya hapo nikawa nachukua vumbi nawatupia mbwa ili waniache swala nipate kitoewo na kumbuka mdogo wangu hajafika ninaye mwita so sijui kilichoendelea baada ya hapo maana nilitoka usingizini
 
Naam mkuu.
Tangu nimeisimulia hapa nimepata amani kiasi fulani kwa sababu ilikuwa inanisumbua sana.

Naamini kwenye ukimya kuna subira na matumaini.

Nami najikita kwenye ukimya kwanza
Ni ndugai!kitambaa cheusi ndani ya Bunge la Marekani ilitokea huko na huku kwetu pia !uzi wa Tumia ajili huo!!!
 
Wiki mbili sasa naota ndoto inayoshahibiana kama mara nne hivi.

Kuna mkubwa, mtu mzito. Inawezekana ni mstaafu sijui, au yupo madarakani sijui bali YEYE ajua

Hayuko salama, yupo kwenye mikono inayoshahibiana na neno salama. Hali yake kiafya sijui, usalama wake kama ni wa uhakika sijui. YEYE ajua

Nimeota ndoto kuwa analazwa kaburini. Sababu ya mkono wa mtu sijui, au kudra za Mungu sijui. YEYE ajua.

Wana JF, hii ndoto imenisumbua sana kwa sababu ni kama tupo na watu wengi tunahudhuria mazishi ya mtu. Yes mtu mume na si mwanamke.

Je, inawezekana kaburi ni gereza au ni kweli kuna umauti upo.

Inawezekana kuna jambo linakuja na linaoneshwa kwangu mimi nisiyejua kuongea sawasawa.

Shughuli nzima ni mtanzuko wa kisiasa kwa sababu kwenye msiba watu walikuwa wamevaa nguo za kisiasa.

Mshana Jr tusaidiane hapo
Mshana Jr je inawezekana ndoto niliyoiota ndo hii?

Kuna dhamiri ndani inaniambia kutakuwa na aftershocks.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom