mandawa JF-Expert Member Joined Feb 6, 2015 Posts 905 Reaction score 1,284 May 13, 2023 #41 Msanii said: Mshana Jr je inawezekana ndoto niliyoiota ndo hii? Kuna dhamiri ndani inaniambia kutakuwa na aftershocks..... Click to expand... Hata mie naona ndoto ndio hii... Siku nyingine mkuu ukiota omba Mungu akuongoze cha kufanya.... Maana ndoto zako naona ni ukweli mtupušš
Msanii said: Mshana Jr je inawezekana ndoto niliyoiota ndo hii? Kuna dhamiri ndani inaniambia kutakuwa na aftershocks..... Click to expand... Hata mie naona ndoto ndio hii... Siku nyingine mkuu ukiota omba Mungu akuongoze cha kufanya.... Maana ndoto zako naona ni ukweli mtupušš