Tuisusie META na platforms zake. Wanashirikiana na Samia kuminya demokrasia

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,946
Reaction score
38,656
Ndugu Watanzania, Wakenya, Waganda na Waafrika wenzangu

Kitendo cha kampuni ya META kushirikiana na serikali ya Samia kuminya uhuru wa maoni na kuzuia umma na dunia kufahamu matukio ya mauaji ya kutisha kuanzia Oktoba 29 na kuendelea, ni ukiukwaji mkubwa wa uhuru wa maoni na haki ya kupata taarifa.

Kitendo hiko haiyumkiniki upo uwezekano wa platforms za META yaani facebook, Instagram na WhatsApp wakawa wanatoa taarifa za faragha za watumiaji wake kwa serikali kandamizi.

Ninawashauri ndugu zangu. Tuanze kususia hayo majukwaa. Tutengeneze social platforms zetu huru au tutafute zinazolinda uhuru wa maoni na faragha za watumiaji.

Natamani kuona JamiiForums inakuwa na social chat app ili watumiaji waendelee kufaidika na ulizi wa faragha za watumiaji lakini itumike kama instant convo as social.....

Naomba kuwasilisha
 
Hapana tufungue matiple account kuhakikisha tunawapiga vita samuya
 
Umepost na wewe uonekane haya tumeshakuona....
 
Ni kipindi cha mpito tuvumilie.. It wont last longer
Mkuu
Trust my intuition
Watakuwa wamerisk sana maisha ya watetezi wa haki.
Kama mamlaka inayojulikana duniani kute kwa ukandamizaji ikaandika barua kufunga members wanaotetea haki na uhuru wa maoni.

Usidanganyike. Wamejiumanisha upande wa ukandamizaji

Tuachane nao
 
Ndugu Watanzania, Wakenya, Waganda na Waafrika wenzangu

Kitendo cha kampuni ya META kushirikiana na serikali ya Samia kuminya uhuru wa maoni na kuzuia umma na dunia kufahamu matukio ya mauaji ya kutisha kuanzia Oktoba 29 na kuendelea, ni ukiukwaji mkubwa wa uhuru wa maoni na haki ya kupata taarifa.

Kitendo hiko haiyumkiniki upo uwezekano wa platforms za META yaani facebook, Instagram na WhatsApp wakawa wanatoa taarifa za faragha za watumiaji wake kwa serikali kandamizi.

Ninawashauri ndugu zangu. Tuanze kususia hayo majukwaa. Tutengeneze social platforms zetu huru au tutafute zinazolinda uhuru wa maoni na faragha za watumiaji.

Natamani kuona JamiiForums inakuwa na social chat app ili watumiaji waendelee kufaidika na ulizi wa faragha za watumiaji lakini itumike kama instant convo as social.....

Naomba kuwasilisha
ususie nn eti
 
Kabla hujaisusia META, nenda Marekani au UK, na upost matusi na kuhamasisha vurugu kama utabaki salama. Nenda USA au UK kapiga hata picha za majeruhi wa ajali au nenda piga mtu picha bila idhini yake upost kwenye mitandao halafu baada ya hapo rudi uisusie META.

Ulipoamua kutumia mitandao ya META ulikubaliana na vigezo na masharti halafu sasa unataka uvunje vigezo na masharti. Trump mwenyewe alifungiwa akaunti zake zote akiwa Rais wa Marekani. Tufanye mambo yetu kwa kufuata taratibu zilizopo.

Wewe ni aina ya watenda dhambi wanaowachukia watenda dhambi wenzao kwa kutenda dhambi kwa njia tofauti na wewe
Ukiwa chumbani kwako meta unatumia
20251206_125809.jpg
 
Back
Top Bottom