OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 428
Jana katika uzinduzi wa kampeni za NCCR-mageuzi imethibitisha bank mojawapo kujihusisha na siasa za kawe hii inatokana na Mkurugenzi wake kuwa na maslahi katika jimbo hilo na wanatumia branch ya Mbezi kufanya uhuni huo.
Bila kuitaja jina la bank hiyo utafiti wangu umegundua bank zenye matawi mbezi ni CRDB na NBC. Wakurugenzi wenye maslahi na Kawe ni CRDB (Kimei anakaa mbezi) na NBC (Mafuru na anakaa Bunju). Ila tofauti ya wakurugenzi hawa wawili ni kuwa huyu wa CRDB yeye anajihusisha na Siasa za chama tawala, ambayo inapelekea matokeo ya utafiti ku conclude CRDB ndio bank inayotumiwa.
Je tuisusie bank hii au wanaisa tuungane kushinikiza Kimei atoke?