Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,515
- 830,013
Ni aina fulani ya uchovu wa kina wa nafsi-aina ya uchovu wa kihisia au kiroho ambao unaweza kutoka kwa maumivu ya moyo, kutendwa, huzuni, au kuchoshwa tu na maisha, ... Bila kupata faraja ama kwa sababu ya kubeba mzigo huo mzito kwa muda mrefu sana.
Introverts wengi kwa kukosa ujasiri wa kutafuta msaada hupitia hii hali na huwa na madhara makubwa kiroho na kimwili
Muda huu ninapoandika kuna watu wako
Nyumbani
Kazini
Safarini
Bar
JF wanapitia hii changamoto.. Na inawatafuna taratibu bila suluhu.. Matokeo yake hali hii ikizidi bila tiba unaweza kuwakuta wamejidhuru ama wamewadhuru wengine
JF tunao hawa watu.. Yani kuponya maumivu yao wao ni Ku comment shit kwenye mada za wengine ama kutafuta ugomvi usio na sababu