moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
We sema hakuna hali inayodumu wakati huitafutii suluhisho yapo ambayo yanadumu hadi unakufa😁😁😁😁 Npo Kwenye huyo msongo wa mawazo mkuu lkn kutukana mtu hapana ,,,npo hapaa nasikiliziaa hip-hop ngumuu na naonaa mawazo yatakwisha tu ...
Hakuna Hali inayodumu Kwenye maishà mkuu..