Tuirse: Wengi wanapitia hii hali kimya kimya

Tuirse: Wengi wanapitia hii hali kimya kimya

Wewe unadhani kutoa Sex movies zaidi ya 200 ni mchezo? Wale watu wakiwa nje wanajionesha wana furaha( Fake facial expressions) lakini wanatembea na maumivu. Wako sawa na machawa.

Drug abuse and drug overdose
Noma sana, miaka 9 kwenye game alafu bado familia inashindwa kumzika kisa gharama kubwa. Nimewaza sana maslahi yako wapi kwenye hiyo tasnia.
 
Hii kitu ni kweli, Kila mahali watu hawa wapo, makazini pia watu hawa wapo, yaani alafu ni maboss yaani kutwa ni kutesa wafanyakazi kwa maneno machafu na hasira...

NB: Nashauri kuajiriwe wanasaikolojia maofisini ili kusaidia hawa watu...
 
Ni aina fulani ya uchovu wa kina wa nafsi-aina ya uchovu wa kihisia au kiroho ambao unaweza kutoka kwa maumivu ya moyo, kutendwa, huzuni, au kuchoshwa tu na maisha, ... Bila kupata faraja ama kwa sababu ya kubeba mzigo huo mzito kwa muda mrefu sana.

Introverts wengi kwa kukosa ujasiri wa kutafuta msaada hupitia hii hali na huwa na madhara makubwa kiroho na kimwili
Muda huu ninapoandika kuna watu wako
Nyumbani
Kazini
Safarini
Bar

JF wanapitia hii changamoto.. Na inawatafuna taratibu bila suluhu.. Matokeo yake hali hii ikizidi bila tiba unaweza kuwakuta wamejidhuru ama wamewadhuru wengine
JF tunao hawa watu.. Yani kuponya maumivu yao wao ni Ku comment shit kwenye mada za wengine ama kutafuta ugomvi usio na sababu
Mzee wa kilingeni salamu kwako,bila shaka maneno haya ni halisi kutoka kwenye moyo na kinywa chako,sii maneno ya kulishwa wala kutokana na maumivu ya moyo wako,ni vyema ukafafanua zaidi ili usiwapoteze vilaza.
 
Kula pombe ww mambo Yote yataensa saw
 
Yaani kama vile unanielezea mimi.

Hapa nimejifungia ndani tu hata kazini sijaenda.

Ila hapo kwenye kujidhuru ndo siwezi maana nina roho ngumu sana. Lakini pia kuanzisha magomvi na vurugu si jadi yangu. But I see myself slowly dying inside.
Toka nje pata fresh air.. Chill.. Ukiweza pata weed kidogo.. Afya ikae sawa.. Kesho pia ni siku
 
Mzee wa kilingeni salamu kwako,bila shaka maneno haya ni halisi kutoka kwenye moyo na kinywa chako,sii maneno ya kulishwa wala kutokana na maumivu ya moyo wako,ni vyema ukafafanua zaidi ili usiwapoteze vilaza.
Naomba nielezee hapo kwenye kiroho, Kuna watu wenye Macho ya Rohoni na Kuna ambao hawana macho ya Rohoni, wanaona hawa watu wanaona mambo mazuri na wakati mwingine mabaya, wakati mwingine wanapigana vita ya kiroho ambayo K wanaoweza kushinda na kuna wanaoshindwa, wanaoshindwa ni wale ambao hawana nguvu za Rohoni. Sasa shida inakuja pale kwa wale wasio na macho ya Rohoni Wala nguvu za Rohoni hawa ndio vita ya kiroho ikiwatokea wanashindwa, inawapiga, na ikiwapiga inatokea na Mwilini kama ni pesa zinaanza kupotea, mambo yanaharibika, biashara inakufa...wanapata huo uchovu wa kihisia sababu wanapigana vita hawajui akili zinachoka...

NB: Elimu ya Rohoni ni muhimu kwa kanisa na watu wote
 
Back
Top Bottom