Tuirse: Wengi wanapitia hii hali kimya kimya

Tuirse: Wengi wanapitia hii hali kimya kimya

Mstari upi? Au ndo nikasome agano lote?
V

Mit 31
Mafundisho ya Mama wa Mfalme Lemueli
1Maneno ya mfalme Lemueli; mausia aliyofundishwa na mama yake.
2Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu?
Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu?
3 Usiwape wanawake nguvu zako;
Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.
4 Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme;
Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo?
5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria,
Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.
6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea;
Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
7Anywe akausahau umaskini wake;
Asiikumbuke tena taabu yake.
8Fumbua kinywa chako kwa ajili yake aliye bubu;
Uwatetee watu wote walioachwa peke yao;
9 Fumbua kinywa chako, uhukumu kwa haki;
Uwapatie maskini na wahitaji haki yao.
 
Kula pombe ww mambo Yote yataensa saw
IMG20250704125825.jpg
 
Mzee wa kilingeni salamu kwako,bila shaka maneno haya ni halisi kutoka kwenye moyo na kinywa chako,sii maneno ya kulishwa wala kutokana na maumivu ya moyo wako,ni vyema ukafafanua zaidi ili usiwapoteze vilaza.
Nilishavuka hizo hatua. Hata AI inanitambua😂AI Overview

+1
The user query "jf happy hour mshana jr" likely refers to a discussion or thread on JamiiForums (JF), a Tanzanian online forum, involving the user "Mshana Jr" and the term "happy hour". It's not clear what the specific topic is, but the search results indicate that Mshana Jr is a well-known user on JF who posts about various topics, including business, finance, and even "witchcraft". The term "happy hour" suggests a social gathering or a time of relaxation and enjoyment, possibly in the context of the forum discussions. 😂
 
Kiukweli nna stress ya kausha damu hadi nahisi kudata.. na mambo ndo yamegoma kabisaaa sielewi nachomokaje.
Sema alhamdulilah nikiingia jf nasahau shida zote ni vicheko na masikitiko mapya tu 😁
 
Back
Top Bottom