Tuige mifano ya maendeleo ya mikoa hii mitatu

Tuige mifano ya maendeleo ya mikoa hii mitatu

Kwani ktk hiyo ripoti mwanza ipo?kumbuka ripoti syo kwa ajili ya wakazi wa mijini bali kipato ni mkoa mzima ikiwemo vijijini,kumbuka dar ni jiji na lote lina makazi kama ilivyo useri huko rombo
asante mcheku kwa ufafanuz
 
Hivi ukizaliwa maskini, au kutoka kwenye ukoo maskini ni lazima ufe maskini kwa sababu tuu kwenu kuna Historia ya umasikini? Kwa hiyo watu wa mikoa mengine kama Lindi and the likes wasihangaike ili watoke coz of historical background?
akikujibu n tag
 
Mkuu sijui kwa nn umeamua kufikiri kwa namna hii, sidhani kama kwenye mjadala kuna mahali tymezungumzia kabila na maendeleo. Ambacho unaweza ukawa hukifahamu sio wote wanaoishi mikoa tajwa ambao ni wachaga, pia sio wote wanaoishi mikoa maskini sio wachaga
mkuu achana na huyo mcheza baikoko wa ikwiriri hajui kitu
 
Mtoa mada amesema wa mikoa mingine wajifunze kwa wenzao wa kaskazini. Swali la msingi je kaskazini wao ilikuwaje hadi wakafikia hapo? Je historia haijawabeba? Na hapa hatuzungumzii suala la mtu mmoja moja au ukoo ni mkoa na kanda fulani.
history ni minor point,ukiangaliw hata kwasasa watu wa mikoa hiyo wanachapa kaz sana ndio maana wanazd kipaa hiv kuna MTU hawafaham kina mangi kwa biashara au elimu?
 
hivi unajua katika mikoa ambayo ilianza jenga nyumba za tofali ilikuwa ni Kilimanjaro achilia mbali hilo kaskazini ungekuta ni nchi sema tu Nyerere alituzidi kete
achana na huyu kilaza chuki imemjaa ndio maana mkoa wake utazd kuwa maskin
 
ukirudia kuusoma uzi utaelewa nia ya aliyeuandika huu uzi,ana lengo lake ambalo wewe bado haujaling`amua..
Kilimanjaro itazd kupeta kiuchumi hata mkitokwa povu,watu walishaendelea tangu hata kabla ya uhuru
 
Nilikuwa napitia Report ya Poverty and Human Dev ya 2014 inaonesha Tz bado ni nchi ya kipato cha chini ingawa mikoa3 ya kilimanjaro, Dar na arusha kama ingekuwa nchi tayari imeshaingia kiwango cha nchi za uchumi wa kati.
Nikajiuliza, badala ya kwenda kujifunzi nchi kama Malaysia na nyingine juu ya mbinu walizotumia na kupiga hatua kimaendeleo, je hii mikoa haiwezi kuwa kioo cha nchi na tukafuata hatua walizopita hadi kufikia kiwango cha maendeleo walichonacho?

Tukumbuke, kuiga kwa kutumia eneo ama kitu kinachofanana na eneo lako/chako proberbility ya kufanikiwa ni kubwa zaidi.

Tunaweza kushauri ni approach ipi sahihi tunayoweza kuitumia kujifunza kwa wenzetu hawa nasi mikoa mingine tukapiga hatua na hivyo kuiondoa nchi kweny LDC.
Moshi na Arusha inasaidiwa na uwepo wa Wageni Wazungu wanaokuja kutembelea Mlima Kilimanjaro pamoja Hifadhi za Ngorongoro na Serengeti.

Hata biashara kubwa zote katika maeneo hayo ni purely Guest and Tourist oriented.

Shughuli zote ambazo ni indigenous oriented, ni za Wamachinga.

Kwa upande wa Dar, uwepo wa Bandari na Serikali, viliibeba Dar. Pia ndoto za Watz za kila mtu kutamani kuishi au kufika Dar, pia ni sababu ya kuwa na uchumi mkubwa
 
Wakati huko kwao ni masikini wa kutupwa ndio maana wamepakimbia na hawarudi kuwekeza huko.
uchiz mwingine unachekesha
kwa mujibu wa takwimu Kilimanjaro n mkoa wa pili kwa maisha bora na makaz bora nyumba ya kulAla mbuzi kule ni nzuri kuliko unayoishi wewe n kawaida kukuta magorofa hko vijijin pia miundombnu 90% available
kuhusu uwekezaji vitega uchumi 99%, kule vinamilikiwa na wenyeji sasa wamekimbia kivp?
Kilimanjaro n mkoa wa 6 kuchangia pato GDP sasa n maskini kivp?
kule watu wamepiga kitabu sio wavivu ka we mcheza baikoko
 
KUNA MUDA WACHAGA HATA HUWAGA SIWAELEWI,WANAJIFANYA KWAO NDIO KUNA MAENDELEO WAKATI WOTE WAMEUKIMBIA MJI WAO

Moshi shughuli traditional za uzalishaji zilishakufa...Ilikua kahawa predominantly...Kahawa ilishadedi...

Mkoa unaishi kwa remittances za wachagga walioko nje ya Moshi!

Nyumba zinajengwa na maendeleo ya shule,zahanati nk kutokana na michango ya hawa jamaa!

Sekta zilizobaki labda ni Utalii wa Mt Kili,biashara ndogo ndogo,mashule,nk...Ila kilimo kwakweli kinashuka,ndizi zilishakauka,kahawa zilishapotea kitambo,mifugo ni ya ndani labda maziwa,ila kwakweli ni hela kutoka nje ya zinazoenda!

Mchagga ukibaki Moshi kujenga kipato aisee itakuwia vigumu sana.Nafasi ni chache zinagombewa na wengi!Walao utoke nje ndio utapata!Na ukipata lazima ukaweke heshima Moshi kwanza,ndio maana funds zina-flow towards Moshi!
 
wachaga n kama waisraeli fursa zote kule wamekamata na bado kila sehemu tz wapo kama sio elimu n biashara unaonaje Yale majumba hko vijiji
 
KUNA MUDA WACHAGA HATA HUWAGA SIWAELEWI,WANAJIFANYA KWAO NDIO KUNA MAENDELEO WAKATI WOTE WAMEUKIMBIA MJI WAO
Tumetoka nje ya mkoa kupata sehemu ya kupumua na kuwaamsha waliolala(ardhi.. Mifugo.. Kilimo.. Ujasiriamali nk). Tukiwa huku nje ya mkoa mawazo yako nyumbani tu always.. Kuna mabaraza ya kuendeleza nyumbani popote tulipo… its K or bust…
 
Back
Top Bottom