Tuige mifano ya maendeleo ya mikoa hii mitatu

Tuige mifano ya maendeleo ya mikoa hii mitatu

wachaga n kama waisraeli fursa zote kule wamekamata na bado kila sehemu tz wapo kama sio elimu n biashara unaonaje Yale majumba hko vijiji

Mkuu

Yale majumba yamejengwa kwa hela toka wachaga walioko mbali (diaspora).

Moshi hakuna ardhi,ile kahawa ambayo ilikua ndio cash cow ya mkoa ilishakufagaaa!

Kila kijana Moshi wakati anasoma,dreams zake ni kutoka nje ya Moshi kujenga hela na kuja kuweka heshima kijiji kwa nyumba ya hatari!

Kwa mfano kijijini kwetu nakotoka,kijana anaeuza karanga Arusha mjini alijenga nyumba ikawa ni story hadi madarasani primary walimu wanawaongelea watoto!

Hatari ninayoina,ni kua,kila kijana yupo overwhelmed sana kujenga kiasi kwamba vile vihamba mtu anakatiwa ki-eneo kidogo size ya handkerchief kujenga two rooms...Migomba yote inapotea,migomba yote wanakata kujenga vijumba vya block,nk..

Ile shamba za migomba yenye afya inapotea!Ni vijumba vya block kila mtaa,ni stupidity!

Halafu some crazy people wanauza vieneo....mtu ana shamba la heka 3 kapasua vipande kama 16 hivi,mgomba wote ume-overporate ni vijumba tu!

Watu walikosa kaz za kiuchumi wakaishia kukata miti mtoni na kuuza,Leonidas Gama kaokoa kwa kupiga marufuku!

Kwa uongozi wa jamii ya kichagga ningeshauri yafuatayo:

1.Marufuku kabisa kuuza ardhi

2.Marufuku kupasua vipande vya ardhi kwa wanafamilia tena,mwenye kutaka kujenga ajenge nje kuu ya familia,na nyumba ziwe ghorofa tu zinazoweza kubeba idadi kubwa ya wanafamilia.Familia zigawiane apartments tu kama vihamba...Shamba la mgomba lisiguswe kabisa!

3.Marufuku kukata mti hata kama upo shambani kwako

4.Marufuku kuzika watu holela shambani,watenge sehemu ndogo ya maziko nje ya nyumba

Moshi vijijini inageuka for worse,inageuka poluted slums,watu wanagawana vishamba hadi hatua mbili kwa mbili!Maajabu kabisa!
 
Tumetoka nje ya mkoa kupata sehemu ya kupumua na kuwaamsha waliolala(ardhi.. Mifugo.. Kilimo.. Ujasiriamali nk). Tukiwa huku nje ya mkoa mawazo yako nyumbani tu always.. Kuna mabaraza ya kuendeleza nyumbani popote tulipo… its K or bust…
mpashe huyo mcheza baikoko anadhan Kilimanjaro n maskini kama kwao ikwiriri
 
Mkuu

Yale majumba yamejengwa kwa hela toka wachaga walioko mbali (diaspora).

Moshi hakuna ardhi,ile kahawa ambayo ilikua ndio cash cow ya mkoa ilishakufagaaa!

Kila kijana Moshi wakati anasoma,dreams zake ni kutoka nje ya Moshi kujenga hela na kuja kuweka heshima kijiji kwa nyumba ya hatari!

Kwa mfano kijijini kwetu nakotoka,kijana anaeuza karanga Arusha mjini alijenga nyumba ikawa ni story hadi madarasani primary walimu wanawaongelea watoto!

Hatari ninayoina,ni kua,kila kijana yupo overwhelmed sana kujenga kiasi kwamba vile vihamba mtu anakatiwa ki-eneo kidogo size ya handkerchief kujenga two rooms...Migomba yote inapotea,migomba yote wanakata kujenga vijumba vya block,nk..

Ile shamba za migomba yenye afya inapotea!Ni vijumba vya block kila mtaa,ni stupidity!

Halafu some crazy people wanauza vieneo....mtu ana shamba la heka 3 kapasua vipande kama 16 hivi,mgomba wote ume-overporate ni vijumba tu!

Watu walikosa kaz za kiuchumi wakaishia kukata miti mtoni na kuuza,Leonidas Gama kaokoa kwa kupiga marufuku!

Kwa uongozi wa jamii ya kichagga ningeshauri yafuatayo:

1.Marufuku kabisa kuuza ardhi

2.Marufuku kupasua vipande vya ardhi kwa wanafamilia tena,mwenye kutaka kujenga ajenge nje kuu ya familia,na nyumba ziwe ghorofa zinazoweza kubeba idadi kubwa ya wanafamilia.Shamba la mgomba lisiguswe kabisa!

3.Marufuku kukata mti hata kama upo shambani kwako

4.Marufuku kuzika watu holela shambani,watenge sehemu ndogo ya maziko nje ya nyumba

Moshi vijijini inageuka for worse,inageuka poluted slums,wait wanagawana vishamba hadi hatua mbili kwa mbili!Maajabu kabisa!
yote kwa yote kila sehemu tz hukosi mchaga,na hata huko ugernini wanawekeza na kujenga
kuhusu majumba MBNA wauza supu ,ma shoe shiners unakuta wanamiliki maajumba means mzungko wa hela n mkubwa
wachaga n wengi ndio maana wametapakaa.mikoa yote tz
 
Mwenyekiti wa malaika anadhani kuwa hiyo mikoa imeendelea kwa ruzuku za serikali, hajui kuwa ni kwa ajili ya bidii na kujituma kwa watu wa mikoa hiyo na pia kukumbuka nyumbani kwa wale walioko nje ya mikoa hiyo. Tofauti na mikoa mingine mtu akishaondoka kwao kurudi hadi arudi akiwa kwenye box
 
nadhan hujui usemacho mkuu
wachaga n kabila LA tatu kwa ukubwa pia wamesoma kwa sana ndio maana unawaona kila mahali tz,pia ukienda Kilimanjaro vitega uchumi vyote 99% n wenyeji wamekamata sasa unaposema wamekimbia kwao ckuelew
Kilimanjaro kitakwimu n mkoa wa pili kwa maisha bora na makaz bora kule nyumba ya kulala mifugo utadhan ya kulala mtu hebu tembelea ujiinee mwenyewe
wachaga wanadhamin mno kwao ndio maaana hata wakiwa mikoani wanajenga kwao kwanza
pia utaratibu wa kurudi December popular haujawah fikiwa na kabila lolote
chuma cha mjerumani
MBIIRWA
Otorong'ong'o
Come27
Mkuu Luambo Makiadi natamani niweke picha ya Kighorofa pale migombani ili huyu chyasaka aone
 
Back
Top Bottom