Tuige mifano ya maendeleo ya mikoa hii mitatu

naakika Zanzibar ingekuwa nchi leo wangekuwa mbali pia
kaskazini ingekuwa nchi leo hii naamini wangekuwa mbali sana

Yule mzee nilikuwa simpendi bro.. Mungu anisamehe, alikuwa ni mtu ambaye hapendi maendeleo hata kumiliki tv tu hataki.
 
KUNA MUDA WACHAGA HATA HUWAGA SIWAELEWI,WANAJIFANYA KWAO NDIO KUNA MAENDELEO WAKATI WOTE WAMEUKIMBIA MJI WAO
Wachaga ni kama wawekezaji wazungu wanaokuja afrika wanavuna na wanaenda kuujenga mkoa wao wa kilimanjaro japo wameukimbia lakini hawajausahau
 
sababu za kihistoria ndio zinafanya hii mikoa ya kaskazini kuwa kama ilivyo. Wakoloni waliwekeza sana kwenye mikoa hii na mingine michache kama kagera, mbeya, iringa, morogoro na mwanza. Kutokana na uwekezaji huo ulifanya jamii kubwa ya kanda ya kaskazini kujitambua mapema.
Tutajie vitu angalao 2 walivyowekeza wazungu pekee bila kuchanganya na juhudi za wenyeji.
 
Wachaga ni kama wawekezaji wazungu wanaokuja afrika wanavuna na wanaenda kuujenga mkoa wao wa kilimanjaro japo wameukimbia lakini hawajausahau
Hakuna upuuzi Mkubwa, kama unapata pesa za magumashi alafu unaenda kuwekeza sehemu kama moshi, sehemu ambayo haina uwekezaji na aina mzunguko wa pesa wa kueleweka alafu unaenda kujenga nyumba ya pesa kubwa, alafu kijijini uko unaenda Mara moja kwa mwaka
 
Mkuu sijui kwa nn umeamua kufikiri kwa namna hii, sidhani kama kwenye mjadala kuna mahali tymezungumzia kabila na maendeleo. Ambacho unaweza ukawa hukifahamu sio wote wanaoishi mikoa tajwa ambao ni wachaga, pia sio wote wanaoishi mikoa maskini sio wachaga
Mfano Songea mjini, wapo watu wa Kaskazini kibao. Ukienda Bukoba ni hivyo hivyo. Hoja yako ina mashiko fulani na hapo
ndipo pa kuanzia.
 
Nawaonaga wachagga tu wakisifia mikoa yao..Mwanza hawaitaji sijui ni kwa sababu ya ukabila pia inachangia!
Mkuu alitoa nyuzi kataja ripot ya tanzania 2014 hajataja ripoti ya wachaga. ukweli kilimanjaro na arusha wako mbali hasa sababu za kihistoria. alafu wachaga unaowataja katika mkoa wa kilimanjaro wamechukua eneo dogo sana japo wako weng kidogo kuwapita wapare. alafu arusha ni sehem ya kabila la wamasai wameru na wa arusha ukimkuta mchaga arusha yupo kikazi tu. usilazmshe itajwe mwanza wakat ukwel waonekana.
 
Sawa kiongozi wangu,
 
Wachaga ni kama wawekezaji wazungu wanaokuja afrika wanavuna na wanaenda kuujenga mkoa wao wa kilimanjaro japo wameukimbia lakini hawajausahau
Hawa watu nimekaa nao, sii wa kawaida,kwenye issue ya biashara au maendeleo wana misimamo. Wanafaa kuigwa.
 
Kama ukiangalia mzunguko wa hela mkoa wa Kilimanjaro unachangia pato dogo kulingana na Arusha na Dar.Kilimanjaro inazidiwa na wilaya moja ya Shinyanga ambayo ni Kahama kwa mzunguko wa hela.Umaarufu wa Kilimanjaro unakuja kutokana na watu wake walivoendelea kielimu,kiuchumi ila vyote hivi sio kwamba wana akili sana ila sababu za kihistoria ndio zimewaamsha.Watu wa Kilimanjaro wamewekeza nje ya mkoa wao na hata nje ya mipaka ya nchi hii ila kiukweli hawa watu hawajasahau kwao kama wazungu wanavyotufanyia.Mkoloni alivokuja alitaka kuupa mkoa wa Kilimanjaro uhuru ungekuta Kilimanjaro ingekuwa kama nchi ya Lesotho ambayo iko ndani ya nchi ya Africa kusini.Wachaga walikuwa na wimbo wao wa taifa unasema Aika Rua yaani ahsante mungu.Nyerere hili alilistukia mapema kwa ujanja wake na akili nyingi akamuingiza mangi Mareale kwenye TANU hapo ndipo nyota ikazimika
 
Hakuna upuuzi Mkubwa, kama unapata pesa za magumashi alafu unaenda kuwekeza sehemu kama moshi, sehemu ambayo haina uwekezaji na aina mzunguko wa pesa wa kueleweka alafu unaenda kujenga nyumba ya pesa kubwa, alafu kijijini uko unaenda Mara moja kwa mwaka
Ndivyo wanavyotaka wachaga mkuu vijijini walikotoka kupendeze
Halafu hiyo ripoti inazungumzia hali ya kipato cha wananchi kuanzia mijini hadi vijijini kwa mkoa mzima
Hii inaonyesha watu wa vijiji wa Dar, Arusha, na kilimanjaro wanajiweza mno kuliko vijiji vya mikoa mingine
 
KUNA MUDA WACHAGA HATA HUWAGA SIWAELEWI,WANAJIFANYA KWAO NDIO KUNA MAENDELEO WAKATI WOTE WAMEUKIMBIA MJI WAO
nadhan hujui usemacho mkuu
wachaga n kabila LA tatu kwa ukubwa pia wamesoma kwa sana ndio maana unawaona kila mahali tz,pia ukienda Kilimanjaro vitega uchumi vyote 99% n wenyeji wamekamata sasa unaposema wamekimbia kwao ckuelew
Kilimanjaro kitakwimu n mkoa wa pili kwa maisha bora na makaz bora kule nyumba ya kulala mifugo utadhan ya kulala mtu hebu tembelea ujiinee mwenyewe
wachaga wanadhamin mno kwao ndio maaana hata wakiwa mikoani wanajenga kwao kwanza
pia utaratibu wa kurudi December popular haujawah fikiwa na kabila lolote
chuma cha mjerumani
MBIIRWA
Otorong'ong'o
Come27
 
Ndivyo wanavyotaka wachaga mkuu vijijini walikotoka kupendeze
Halafu hiyo ripoti inazungumzia hali ya kipato cha wananchi kuanzia mijini hadi vijijini kwa mkoa mzima
Hii inaonyesha watu wa vijiji wa Dar, Arusha, na kilimanjaro wanajiweza mno kuliko vijiji vya mikoa mingine
asante kwa kumpasha ukweli
 
Kama ukiangalia mzunguko wa hela mkoa wa Kilimanjaro unachangia pato dogo kulingana na Arusha na Dar.Kilimanjaro inazidiwa na wilaya moja ya Shinyanga ambayo ni Kahama kwa mzunguko wa hela.Umaarufu wa Kilimanjaro unakuja kutokana na watu wake walivoendelea kielimu,kiuchumi ila vyote hivi sio kwamba wana akili sana ila sababu za kihistoria ndio zimewaamsha.Watu wa Kilimanjaro wamewekeza nje ya mkoa wao na hata nje ya mipaka ya nchi hii ila kiukweli hawa watu hawajasahau kwao kama wazungu wanavyotufanyia.Mkoloni alivokuja alitaka kuupa mkoa wa Kilimanjaro uhuru ungekuta Kilimanjaro ingekuwa kama nchi ya Lesotho ambayo iko ndani ya nchi ya Africa kusini.Wachaga walikuwa na wimbo wao wa taifa unasema Aika Rua yaani ahsante mungu.Nyerere hili alilistukia mapema kwa ujanja wake na akili nyingi akamuingiza mangi Mareale kwenye TANU hapo ndipo nyota ikazimika
asante mkuu japo nikurekebishe kidg
Kilimanjaro investors _99%, n wenyeji pia wachaga wapo everywhere kama ulivyosema
 
Mkuu alitoa nyuzi kataja ripot ya tanzania 2014 hajataja ripoti ya wachaga. ukweli kilimanjaro na arusha wako mbali hasa sababu za kihistoria. alafu wachaga unaowataja katika mkoa wa kilimanjaro wamechukua eneo dogo sana japo wako weng kidogo kuwapita wapare. alafu arusha ni sehem ya kabila la wamasai wameru na wa arusha ukimkuta mchaga arusha yupo kikazi tu. usilazmshe itajwe mwanza wakat ukwel waonekana.
watu wana chuki dhidi ya wachaga
 
Hakuna upuuzi Mkubwa, kama unapata pesa za magumashi alafu unaenda kuwekeza sehemu kama moshi, sehemu ambayo haina uwekezaji na aina mzunguko wa pesa wa kueleweka alafu unaenda kujenga nyumba ya pesa kubwa, alafu kijijini uko unaenda Mara moja kwa mwaka
wewe mhaya unajua moshi kweli? au unadhan imechakaa kama kwenu bukoba,,?
Kilimanjaro n ya 6 kwa GDP sasa unasemaje hakuna mzngko wa hela
wachaga wanapenda kwao ndio maana wanajenga majumba ya kifahari vijijin hats kama hawakai ndio maana n mkoa wa pili kwa maisha na makz bora nyir kAgera n wa tatu kwa umaskin
 
Back
Top Bottom