Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

Inachefua sana kuona Oluoch anajiita think tank la chama, amekalia wizi wa mapesa ya chama, wakat unakuja s muda tutaweka hadharan ubadhirfu uliofanywa na huyu anajiita think tank. ni fedheha tunafanyiwa walimu hebu atoke mwaka huu akale alizoiba ukwel hatumhtaj
 
Hebu muulizen alipoingia kuwa kiongozi cwt alitokea shule gani? maana hata alivopata ni muujiza alikuwa ktk makampuni fulan, tulifanya kosa hlo mwaka huu hatutaki kurudia kosa atoke atoke atoke ni mzigo mzito kwa chama MUNGU ANIONE
 
Nilikuwa naongea Na watu fulan Jana juu ya kununua hisa za MWalimi Commercial Bank zilizo anza kuuzwa this week.

Wasiwasi wangu mkubwa ilikuwa ni management ya hii bank chin ya CWT kuwa itakuwa mbovu.

Sasa naona inajidhihiri hapa ,tuhuma za Mwenyekit zinaanza kuletwa kwenye mainstream media wakat huu.
 
hakuna kitu kinaniuma kama hivi vyama vya wafanyakaz haswa cwt hovyo kabisa,kila sku mnatishatisha mara ooh tutagoma viongoz wakisha-esrcrow utaona kmyaaaa,kuanzia sasa natangaza sitak kuona mwl anakuja kwangu kukopa,na wife sitak aendelee kufanya kaz hii tena,cwt!!!
 
Oluoch amewatumia ujumbe kupitia whatsup wajumbe wa kamat ya utendaji (KUT) Kwamba kuna mtu ame hack face book yake na kwamba bdo Stela kiyabo ndie chaguo lake, na sekretariet hebu oneni unafiki mkubwa huu. kwanza amekubali kwamba alifungua fb, na pili anakubali kuwa alimnadi kiyabo kabla ya wakati na hvyo kukiuka katba ya CWT, kwa nin akatae haya mengne yaliyoelekezwa kwake?
 
Amedai pia kwamba kuna wafanyakaz wa ofisin kwake wanamhujumu kwa kutoa detailed information ambazo hasemi ni zipi, kwa hyo basi, inaonesha kwamba. 1. alikopa powertilers na mkopo akaufuta wakati katbu mkuu msulwa hakuwepo 2. kwamba alikuwa na nafasi ya juu Teachers Development Company Limited yenye kumiliki mwalimu house na bank, huko pia amekwapua bilions of money kwa ajil ya kuhonga uchaguzi. wenyewe mtaona
 
Amedai pia kwamba kuna wafanyakaz wa ofisin kwake wanamhujumu kwa kutoa detailed information ambazo hasemi ni zipi, kwa hyo basi, inaonesha kwamba.

1. Alikopa powertilers na mkopo akaufuta wakati katbu mkuu msulwa hakuwepo

2. Kwamba alikuwa na nafasi ya juu Teachers Development Company Limited yenye kumiliki mwalimu house na bank, huko pia amekwapua bilions of money kwa ajil ya kuhonga uchaguzi. wenyewe mtaona
 
Kwa sasa lazima tufanye mabadiliko ya kweli ktk CWT tuna vijana weledi kabisa na wasomi wazuri nashauri walimu wote mchaguen vijana hao wazee wamejisahau wamefanya chama genge la wahuni
 
Mwl Oluoch lazima akiri kujiita yeye ni think tank la chama ni kauli inayojenga dharau na fedheha kwa walimu
 
Mheshimiwa Oluoch, dah pole sana kwa shuguli huko Philipines (ufilipino) ulikokuwa umekwenda kwa mwamvuli wa NHIF, tunaamini umetua jana airpot Dsm, na kwa kuwa ulipokuwa huko huenda ulikuwa bize kiasi kwamba hukuweza kujibu tuhuma dhidi yako sasa jiau tuhuma zinazokuhusu maana eti unalalamika kwamba hackers wameingia face book yako hyo si kweli, ndg yangu. ni kwamba umetambua kwamba uliyokuwa unayaandika kujikweza sasa wenye akili wameelewa na wametafsir tofauti na matarajio yako, sasa thibitisha kwamba wewe sio think tank wa chama
 
Na kwamba haujamtuhumu mwenyekit mmoja mikoa ya kanda ya ziwa kwamba asipambane na Mukoba na uthibitishe kwamba hujawah kukopa kwa ajili ya powertilers na kwamba hujafuta mikopo yako kinyemela na uthibitishe kwamba hujafanya hujuma kwenye Teachers Develpment Company Limted ambayo wakati wa Uongozi wako hata mara mja baraza la taifa CWT halijawah kukubal/kuridhia ripoti yenu iliyokuwa ikiwasilishwa na Bwana Leonard Haule ambaye alidai mbele ya wajumbewa baraza kwamba
 
TDCL, ni kampuni ya kishikaji. sasa jaman Oluoch kwa nin mnakuwa na kampun ya kishikaji kwa pesa za chama? hebu thibitisha kwamba pia humpigii debe Stela Kiyabo, kuwa makamu wa Rais, naomba ukiri uovu huo. movement for change 2015 CWT haiepukiki kama ulivoandika kwenye facebook yako. tafakar chukua hatua stahk
 
Ezekiah Oluoch (naibu katibu mkuu CWT mara nying umekuwa na confrontations na Hellen Mbezi mwenyekit wa baraza la wadhamin CWT na kwenye moja ya vikao vya baraza pale Dodoma royal vilage utakumbuka kuwa sekretariet, Kamat tendaj ya taifa, na wafanyakaz wa CWT Makao makuu mlitolewa nje ya ukumbi, wenyeviti wa mikoa cwt wakaona ipo haja kusikilzwa hoja za helen mbezi, ikadhihirika kwamba tatizo ni wewe na jambo la msingi ilikuwa uanzishwaji bank.
 
Moja ya mambo ya msingi ya mama mbezi yalikuwa kwamba wwe uliamua kuisajir Bank kama private ambapo wanahisa wasingezidi hamsini, ina maana ya wazi kwamba tangu mwanzon ww ulishaamua kuwatosa walimu wote, Mbezi alikuwa anapigania kuwa bank iwe public ili walhmu wote wanachana wawe wana hisa za mja kwa mja jambo ambalo wewe kwa hila zako hukulitakj tangu mwanzo, na wala sio busara za mukoba wala utaly wala chtanda iliyonusuru sakata lile bali ALHAJI MSULWA ndiye alijitoa mhanga na kukubali ombi la wenyeviti wa mikoa kuongea na helen mbezi na mwafaka kufikiwa.
 
Wewe umeifanya cwt kama yako binafs,eti think tank, tumebain kuwa baada ya ww kuondoka tambaza sekondari uliendelea kuwa undermine walimu kwa malipo ndan ya chama uliyokuwa ukiyafanya kinyemela sasa tutaendelea kukuweka hadharan ili wapiga kura tar 28 pale ngurdoto arusha waamue kumchagua mtu atakaewatetea asie na mawazo kama yako ya kibepari na uzandiki mwing, na malipo yote ya ghiliba tunazo hapa details zake tunawaahid wadau kutoa hadharan malipo yote aliyolipwa kienyeji na siku aliyolipwa, na ili mjue uov huu. tunazo nakala zote ulizolipwa za kighilba. hakuna chochote ambacho tutashindwa kukijua
 
Hakuna chochote ambacho tutashndwa kukijua kutoka ofisin kwako wewe uko peupeeeeee, hivi unataka kuwa kama baadhi ya Marais wa Afrika ambao hawataki kutekelezwa kwa matakwa ya umma mpaka waondolewe kwa risasi? ask historians watakueleza kuwa wanaopingana na nguvu ya umma huondokaje madarakan. movement for change 2015 haiepukiki sio mpaka wilayan na mikoan tu bali hadi ngazi ya taifa
 
Ktk karne hii viongoz wanaong'angania madaraka hawatakiwi kbs....

kama muda umefika, aachie wengne madaraka, kuliko kung'atuliwa kwa aibu.
 
Ndgu zangu wadau wote wa elimu hebu ingien ktb facebook ya Ezekiah Oluoch oneni alichokoment, hivi lakn huyu mtu yupo sawa kiakili? mnisaidie wadau ukwel anakera
 
Huyuu Oluoch nina hasira nae utadhani mm ni mwanachama wa CWT
 
Back
Top Bottom