Dhambi ya ukabila itamtafuna. Amekifanya chama kuwa cha wajaluo.
Nyie ni ma-CCM, aliwachachafya katiba, sasa mnaanda zengwe.
Dhambi ya ukabila itamtafuna. Amekifanya chama kuwa cha wajaluo.
where we dare to talk...
aksante JF.
tusimchague....
kwanza ni kusimamishwa mahali alipo....na kama anafanya mambo kinyume cha sheria... hatua gani zchukuliwe.
Kwani Oluoch akiwa hapo CWT-----Ni mtu binafsi au Taasisi?

nilikua mkoa fulani2012 tulianza na amsha amsha namna ya kujitoa CWT ndo wakatangaza ule mgomo ule maana tuli influence baadhi ya mikoa tujitoe chamani but CWT hamna kitu wapo kimaslahi zaidi
km wapo kihuduma watangaze mgomo this year tuone[/QUOTE
Waalimu ni watu waoga as if hivyo vyeti sio vyao! Mkumkuta h'master anamkoromea mwalim wa bachelor hutoamin kamwe!! Wanatishiwa na kila mtu Nchi hii. Waalim amken, hakuna wa kuwasemea kamwe!
Umemaliza kusahisha home wek za wanafunzi????
nilikua mkoa fulani2012 tulianza na amsha amsha namna ya kujitoa CWT ndo wakatangaza ule mgomo ule maana tuli influence baadhi ya mikoa tujitoe chamani but CWT hamna kitu wapo kimaslahi zaidi
km wapo kihuduma watangaze mgomo this year tuone[/QUOTE
Waalimu ni watu waoga as if hivyo vyeti sio vyao! Mkumkuta h'master anamkoromea mwalim wa bachelor hutoamin kamwe!! Wanatishiwa na kila mtu Nchi hii. Waalim amken, hakuna wa kuwasemea kamwe!
mi siogopi yeyote na afisa elimu anajua mziki wangu as long as nipo sahihi
Umemaliza kusahisha home wek za wanafunzi??