Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

angakwaanga

Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
34
Reaction score
3
1. Kwanini umeajiri watu wasio walimu kwa sifa zao. Mfano Godwin Monyo (ndugu wa Msajili wa vyama vya wafanyakazi) tena bila kufanyiwa usaili na bila tangazo katika gazetini / tovuti ya CWT.

2. Unazungumziaje madeni yako ya mashine za "Power tila" uliyolipa kwa kutumia pesa za chama ulipokaimu nafasi ya Katibu Mkuu?
 
1. Kwanini umeajiri watu wasio walimu kwa sifa zao. Mfano Godwin Monyo (ndugu wa Msajili wa vyama vya wafanyakazi) tena bila kufanyiwa usaili na bila tangazo ktk gazetini/tovuti ya CWT

2. Unazungumziaje madeni yako ya mashine za "power tila" uliyolipa kwa kutumia pesa za chama ulipokaimu nafasi ya Katibu Mkuu?

Walimu wa vodafasta mko na shida sana, kila wakati mnatafuta sababu za kuanzisha chokochoko CWT.
 
Majungu haya! hapa sio mahala pa kuweka post za namna hii. chukua vielelezo peleka panapostahili ili hatua za kufuatilia zifanyike. acha kulialia kutafuta huruma. jiamini.
 
Ndugu Oluoch amewafanyia mengi walimu wa Tanzania Bara akiwa Kaimu Katibu Mkuu wa CWT. Kwenye Bunge maalum la Katiba ninyi ni mashahidi jinsi Oluoch alivyosimama kidete kuwatetea walimu. Chini ya Ndugu Oluoch kuna mchakato wa walimu kuwa na Benki yao. Sisi wana Rorya tunaona Oluoch ndiye atakuwa mkombozi wetu kwenye nafasi ya ubunge katika uchaguzi ujao.
 
Kinachozungumziwa hapa ni tuhuma, suala la benki halihusiani na tuhuma.

Imekuwaje ajipeleke kuwa mwakilishi NACTE, NHIF na African Union peke yake bila hata ya kugawa nafasi kwa wenzake? Au anaona hawana uwezo?

Kwa wanaomtetea hawamafahamu vizuri huyu Oluoch Ezekiah.
 
Pia ktk kikao cha Makatibu mikoa CWT pale Midland akaamua kuvunja katiba kwa kutamka kuwa Mama Kiyabo nditlye chaguo lake kuwa kiongozi kitaifa kwa nafasi ya Makamu wa Rais???
 
Alifanya hayo kwa makusudi akijua wazi kwamba kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za CWT kampeni bado hazijaanza mpaka Aprili 2015.

Je hii ni sifa ya kiongozi bora?
 
Kwa mapenzi mema kabisa ya kukinusuru chama chetu cha walimu, ni vyema kuweka uongozi mpya kuanzia ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa ili kubadili mfumo na hasa hasa Oluoch Ezekiah atupishe.

Wakati ukifika tutaeleza mengi ili wapiga kura ambao ni walimu mchuje na mpime, huu ni ushauri wa bure hulazimishwi kuukubali.

Ahsante, nawasilisha hoja. Uchaguzi mwema.
 
Ndugu Oluoch amewafanyia mengi walimu wa Tanzania Bara akiwa Kaimu Katibu Mkuu wa CWT. Kwenye Bunge maalum la Katiba ninyi ni mashahidi jinsi Oluoch alivyosimama kidete kuwatetea walimu. Chini ya Ndugu Oluoch kuna mchakato wa walimu kuwa na Benki yao. Sisi wana Rorya tunaona Oluoch ndiye atakuwa mkombozi wetu kwenye nafasi ya ubunge katika uchaguzi ujao.

Mi ni mjaluo ila kusema kweli Oluoch hafai! Kwani nani kawambia CWT chama cha wajaluo? Yeye anajaza waluo kibao kwenye nafasi za ukatibu utafikiri hakuna walimu wengine bwana. Angalia, wilaya ziko kama 150 hivi. So kila wilaya ikitoa mwalimu mmoja wa kuwa Katibu CWT katika wilaya mojawapo ingekuwa poa. Lakini sasa wajaluo makatibu CWT ni zaidi ya 30. Kazi yako sio nzuri, ni ukabila huo!!!
 
Yawezekana anaangalia uwezo wa paka kukamata panya siyo rangi za paka
 
Mnaojifanya kumjua sana huyu Oluoch mtasubiri sana.

Binafsi nimebahatika kufanya naye kazi manispaa ya Iringa na sasa hapa Dar. Kweli ana mapungufu mengi sana na hata alivyoifikia nafasi ya naibu katibu mkuu hakupitia njia sahihi kwani hupenda sana kutumia weakness za walio juu yake kupiga bao. Ni kweli kuwa ana ukabila sana na ni mbadhirifu sana.

Ukijaribu kufuata nyayo zake lazima akumalize kwa kuku-suffocate kupitia afisaelimu wako na huenda ukawaponza co-workers wenzako kwani utaandamwa sana na wakuu wako wa kazi kwa ahadi za kutowafuatilia pale wanapohujumu malipo ya walimu wa wilaya utokako. Ni mtu hatari na msaliti kwa haki za walimu.

Angalizo kwa walimu ni msimchague mtu huyu kwani hawatetei zaidi ya kujitetea mwenyewe. Anajipendekeza kwa serikali na haki zenu hamji kulipwa hadi kiama. Poleni walimu mliobaki kwenye hiyo taaluma.
 
Dhambi ya ukabila itamtafuna. Amekifanya chama kuwa cha wajaluo.
 
Hata makatbu wa mikoa cwt na ma KUT Kadhaa wamewekwa na yeye kwa manufaa yake, ambayo ni shnyanga, pwani, mbeya, kgoma, musoma, ruvuma, arusha, yani huyu ni mtu hafai hafai hafai na Mungu anione maana nasema kweli
 
Na akiwa chuo dsm aliwah kuwazunguka wenzake akaificha barua iliyotaka mwakilish wa serikali ya wanafunz kwenda uingereza/marekani, akaificha na kwenda yeye. hzo ni hila za watu wasiomjua Mungu
 
Haya walimu sikieni kioja kingine cha Oluoch, ameajiri makatibu wilaya 9 mwaka huu 2015 kiurafiki bila kutangaza ajira ktk chombo chochote cha habari na waliopata ajira ni wale wote wanaohoji madudu yake mkutanoni pale Arusha.
 
Hata makatbu wa mikoa cwt na ma KUT Kadhaa wamewekwa na yeye kwa manufaa yake, ambayo ni shnyanga, pwani, mbeya, kgoma, musoma, ruvuma, arusha, yani huyu ni mtu hafai hafai hafai na Mungu anione maana nasema kweli

Kati YA Mikoa ulioitaja! Mmoja nagombea uenyekiti wa CWT Wilaya na nina kila dalili YA kushinda! Na tunaanza na Huyo katibu, then wenyeviti tutaunganisha nguvu! Tunajua wanalindwa na watawala! SISI tufanye MABADILIKO Kuwa na wenyeviti bora SIO wake status quo
 
Aiseeeee, mm Nina ideas mpya, nitazitekeleza nikifanikiwa, kwenye hii step ya kwanza.
 
1. Kwanini umeajiri watu wasio walimu kwa sifa zao. Mfano Godwin Monyo (ndugu wa Msajili wa vyama vya wafanyakazi) tena bila kufanyiwa usaili na bila tangazo ktk gazetini/tovuti ya CWT

2. Unazungumziaje madeni yako ya mashine za "power tila" uliyolipa kwa kutumia pesa za chama ulipokaimu nafasi ya Katibu Mkuu?

Nawe una tatizo,kwani lazima wafanyakazi wa CWT wawe walimu?Ile n Union,inaajili proffesionals wa aina tofauti.Kuna wahasibu,wanasheria,PR,Adm officers,IR officers,Makarani n.k.
 
Back
Top Bottom