Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Hujiamini mpaka utaje uislamu ...Hizo documentary zipo kibaoTatizo la Waislamu dini yao ni ya mashindano. Uislamu ungekuwa dini nzuri sana kama wasingeiga kutoka uyahudi na ukristo. Ingekuwa kivyake vyake huko Hindu na Buddha ingependeza. Ni rahis mkristo kubadili kuwa muislamu. Lakini ni ngumu muislamu kubadili kuwa mkristo kwasababu ya vitisho vya kuuawawa. Na wale wanaobadili kutoka uislam kwenda ukristo wanaitwa one in a billion. Cheki huyo binti wa Kisomali aliyemkubali Yesu licha ya usalama wa maisha yake.
Covax Accumen Mo Kikwajuni One battawi
Imekuumaa eeh. They are called ONE IN A BILLIONHujiamini mpaka utaje uislamu ...Hizo documentary zipo kibao
Nikweli mkuu kabisaa umeongeaTatizo la Waislamu dini yao ni ya mashindano. Uislamu ungekuwa dini nzuri sana kama wasingeiga kutoka uyahudi na ukristo. Ingekuwa kivyake vyake huko Hindu na Buddha ingependeza. Ni rahis mkristo kubadili kuwa muislamu. Lakini ni ngumu muislamu kubadili kuwa mkristo kwasababu ya vitisho vya kuuawawa. Na wale wanaobadili kutoka uislam kwenda ukristo wanaitwa one in a billion. Cheki huyo binti wa Kisomali aliyemkubali Yesu licha ya usalama wa maisha yake.
Covax Accumen Mo Kikwajuni One battawi
Sisi huwaga hatuleti walioslimu ni wengi sana kwa vile tunajiamini ...nyie hamjiamini kabisaImekuumaa eeh. They are called ONE IN A BILLION
Unauwakika au unaongea ilimradi utoe lawama acha dhambi za kujiletea aisee na sipendi kuongea sana .Sasa mbona hao wakristo wenzako ndio vinara wa kuanzisha mada za kukejeri na kueneza chuki dhidi ya waislam ndani ya jf?
Waislam wana mtazamo hasi dhidi yenu kwa sababu na nyinyi mmetunza chuki kubwa dhidi yao mioni mwenu tena chuki za kijinga na zisizo na sababu.
Yaani unataka upendwe na mtu unaye mchukia?
Mfano mzuri ni mada za kuwashambulia waislam zinazo anzishwa humu kila siku, hata ww umeanzisha hii mada lengo lako ni waislam washambuliwe na kutukanwa ili moyo wako usuuzike.
Hili tu linaonesha ni namna gani mlivyo na chuki dhidi ya waislam.
Kwanini sasa mnatusha kuua wanamkubali Mungu Yesu. Kwanini hamruhusu sasa Yesu ahubiriwe muone. THEY ARE CALLED ONE IN A BILLION.Sisi huwaga hatuleti walioslimu ni wengi sana kwa vile tunajiamini ...nyie hamjiamini kabisa
Kwa hiyo mada za kuwashambulia na kuwakejeri waislam huwa huzioni humu au ni unafiki umekujaa?Unauwakika au unaongea ilimradi utoe lawama acha dhambi za kujiletea aisee na sipendi kuongea sana .
Sipo kwenye mood
Watakuuliza uliwahi kufa ukakutana na hayp maswali . ilishasemwa wao wana dini yao nasi tuns yetu hvyo kazi kwetu kuchagua njia ipi inafaa.Utakapokuwa peka yako kaburini kama ulivyozaliwa peke,utaulizwa Mola wako nani?Dini yako dini gani?Mtume wako nani na kitabu chako kitabu gani?hapo ndipo utakapoujua ukweli,na kumbukaa utakaa mda mrefu sana kaburini,maana hata Adamu mpaka leo yuko kaburi,na hatujui kiama ni lini?na huko kuna adhabu ambayo inaitwa adhabu ya kabri
Unajua mtu ukifa kuna wengine dhambi zao zinasimama na wengine dhambi zao zinaendelea kuongezeka huku wakiwa kaburini?hizi elimu utazipata ndani ya Uisilamu tu,ingawa haumlazimishi mtu kuslimu
Na lengo limetimia, mimi hua najiuliza hawa wanaoanzisha hizi nyuzi za hvi nani atazifuta wakitangulia mbele ya haki.Kwa hiyo mada za kuwashambulia na kuwakejeri waislam huwa huzioni humu au ni unafiki umekujaa?
Hivi sasa hivi inaweza kupita hata siku moja bila kuanzishwa mada ya kuwatukana waislam humu?
Ni nadira sana kukuta muislam kaanzisha mada ya kuongelea ukristo, lakini wakristo kila siku huwa ni vinala wa mada za kuikejeri uislamu sasa kama sio uchokozi ni nini?
Hata kwenye uzi wako tiyari watu wameshaanza kuwakejeri waislam na hili ndo lilikuwa lengo lako.
Uthibitisho wa maelezo Yako ni upi. Kwani ni binadamu tu ndiye anayekufa. Unapokula wanyama unategemea na yeye mnyama aende peponi au motoni. Kwani Dunia ni Kwa ajili ya wanadamu au viumbe woteUtakapokuwa peka yako kaburini kama ulivyozaliwa peke,utaulizwa Mola wako nani?Dini yako dini gani?Mtume wako nani na kitabu chako kitabu gani?hapo ndipo utakapoujua ukweli,na kumbukaa utakaa mda mrefu sana kaburini,maana hata Adamu mpaka leo yuko kaburi,na hatujui kiama ni lini?na huko kuna adhabu ambayo inaitwa adhabu ya kabri
Unajua mtu ukifa kuna wengine dhambi zao zinasimama na wengine dhambi zao zinaendelea kuongezeka huku wakiwa kaburini?hizi elimu utazipata ndani ya Uisilamu tu,ingawa haumlazimishi mtu kuslimu