Tuhalalishe biashara ya Ngono

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,416
7,969
Kwa sasa ni muhimu tuhalalishe biashara ya ngono, ambapo itafanyika kwa mujibu wa sheria na itawekewa kanuni na miongozo makini kuhusu afya, usalama, kodi na usimamizi.

Hii itaingizia nchi kipato kikubwa kupitia kodi na hata watalii wataongezeka.
 
Siafiki kwa kuwa bei ya ngono itapanda sana na kuwafanya vijana wengi kutomudu na hivyo itasababisha msongo wa mawazo kwa vijana wengi na hatimaye nchi itakuwa na vichaa wengi!
 
Kinachotakiwa ni decriminalisation na serikali iache kufuatilia mambo ya ngono kwa watu wazima waliokubaliana kwa ridhaa zao.
 
ASUBUHI YOTE HII UNAWAZA NGONO????

Fuatilia hata historia Ya Muungano.
Kwanini Muungano

KIZAZI CHA ZINAA KINAWAZA UFIR NA UAASHERATI.

OLE WAO MAKAHABA.
 
Hapa kinachotafutwa ni Kodi tu.... hayo mengine ya usalama n.k ni kutaka tu kuonesha una hoja nzito
 
Biashara ya Ngono ni laana, kuhalalisha ni kulitia taifa kwenye nuksi vizazi na hata vizazi.
 
Kwa sasa ni muhimu tuhalalishe biashara ya ngono, ambapo itafanyika kwa mujibu wa sheria na itawekewa kanuni na miongozo makini kuhusu afya, usalama, kodi na usimamizi.

Hii itaingizia nchi kipato kikubwa kupitia kodi na hata watalii wataongezeka.
Mtahalalisha na USHOGA nao ufanyike kisheria?
 
Back
Top Bottom