Tugawe vitengo JF

Tugawe vitengo JF

Iyo ni kweli kumzoea mtu ngumu sana nashaaga watu kwenye bus mtu umemkuta kwenye siti lakin wanaongea kama washawai kutana
Hiyo kwangu mpaka nilewe marafiki zangu wanapenda nilewe mda wote , wanaona nakua mchangamfu na rafiki zaidi😅
 
Ndio uhalisia wa mambo , watakua wanakuona mtoto wa kishua na ni snitch 😅
Hapana sasa mfano juzi mtu ana jisifia kisa kaunda suti nikamuangalia nikamwambia sasa izo kaunda suti unanitia nazo mimi? Wengine tushaziunguzaga na pasi makusudi 😂😂😂 kaenda nitangaza kwa watu na dharau sana ananitafutia angle 😂😂
 
Mbona kaunda suti tamu tu bwashee
 
Back
Top Bottom