Tugawe vitengo JF

Tugawe vitengo JF

Tugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:

1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote

Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
My sweet wangu FaizaFoxy mnampa kitengo gani? Asipopewa mimi sitaingia humu abadan
 
Tugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:

1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote

Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Kitengo cha praise and worship apewe luka
 
ww uko makin sanaaa kufatilia watu yan karibu wote umewaweka vitengo sahihi.Wewe upewe kitengo cha ujasusi.
Sio kwamba nipo makini kufuatilia watu nakabusu, ni vile tu tu akili yangu hata nikiwa choo cha umma nikakuta kipande cha gazeti najikuta tu nakisoma🤣
 
Back
Top Bottom