Tugawe vitengo JF

Mkuu umeniita mtabiri ubwabwa! Nitakuotesha majipu usoni, ohoo!
 
my friends, ladies and gentlemen,
nipo safarni jimboni,

nisihusishwe kwenye drama au movie yoyote kuelekea uchaguz mkuu.

asanti πŸ’
 
Naendelea na ugawaji vitengo..

Kuna kitengo adhimu kabisa ambacho sisi CHAPUTA hatujui kuwa mpaka tunapata video safi na quality kutoka PH au blaazzer basi kazi kubwa ya mitambo huwa ipo chini ya kiongozi mfawidhi bwana DeepPond
 
Ketengo cha pisi kali apewe Midekoo
 
Usisahau kitengo cha Uchawa, na chenyewe kina wadau wengi.
 
Tuwe makini kikosi cha Green Guards kimeingia JF kinataka kuwachuuza wanasiasa wa JF ili kiwapoteze kuelekea uchaguzi, mtakuja jutia huu mtego.
 
Mkuu Kwa heshima hebu nitake radhiπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…