Na hakika upande wowote tutakao elekea hakika tutawazidi CCM kwenye Kila sphere of life...Tugawane nchi katikati mikoa 13 kila upande iki kila mtu aishi kwa amani anapopenda, CCM wabaki na kipande chao (pamoja na Zanzibar)waishi kwa hii katiba yao na mifumo yao ya maisha , majeshi yao na watu wao wanaoipenda, na sisi twende na kipande chetu cha mikoa 13 ,tukaunde majeshi yetu, katiba yetu , na vitu vyetu tunavyotaka.
Kuishi maisha kama ya sasa kwakweli tumechoka, kila mtu aende upande wake. Mbona sudani kuna kusini na kaskazini? Na sisi tugawane.
Tusigawane, tupambane kuwaondoa CCM
Nyerere aka tugaribu ikishindikana aisee apumzike kwa amani mzee wetu MANGI MALIAREBwashee , tulidai kilimanjaro iwe taifa linalojitegemegea ikashindikana
Tugawane mbao๐๐Tugawane nchi katikati mikoa 13 kila upande ili kila mtu aishi kwa amani anapopenda, CCM wabaki na kipande chao (pamoja na Zanzibar)waishi kwa hii katiba yao na mifumo yao ya maisha , majeshi yao na watu wao wanaoipenda, na sisi twende na kipande chetu cha mikoa 13 ,tukaunde majeshi yetu, katiba yetu , na vitu vyetu tunavyotaka.
Kuishi maisha kama ya sasa kwakweli tumechoka, kila mtu aende upande wake. Mbona sudani kuna kusini na kaskazini? Na sisi tugawane.
Mariale ndio tapeli wa kutupwa bwasheeNyerere aka tugaribu ikishindikana aisee apumzike kwa amani mzee wetu MANGI MALIARE
Alitapeli nini nasikia alimwambia Nyerere pale uingereza Kilimanjaro ipewe uhuru wakee ๐Mariale ndio tapeli wa kutupwa bwashee
Yule ndio alituuzaAlitapeli nini nasikia alimwambia Nyerere pale uingereza Kilimanjaro ipewe uhuru wakee ๐
Wanaenda kwenye kipande chao, kama wapo wengi tutawaongezea mikoa hata mitano, la msingi wakae hukohuko, Korea nao wana kusini na kaskazini, kipande chetu hatutaki mbegu ya kina lucas mwashambwa na tlatlaDamu ya CCM ipo kwenye miili ya Watanzania wengi. Unawaondoaje CCM?
Kumbe MANGI MALEALE ALITUSALITI WANA KILIMANJARO ๐๐Yule ndio alituuza
This is a sin that knows no limit. Kumbuka, hata ndani ya kusini kuna kaskazini na kusini. Similarly, ndani ya kaskazini kuna kusini na kaskazini.Tugawane nchi katikati mikoa 13 kila upande ili kila mtu aishi kwa amani anapopenda, CCM wabaki na kipande chao (pamoja na Zanzibar)waishi kwa hii katiba yao na mifumo yao ya maisha , majeshi yao na watu wao wanaoipenda, na sisi twende na kipande chetu cha mikoa 13 ,tukaunde majeshi yetu, katiba yetu , na vitu vyetu tunavyotaka.
Kuishi maisha kama ya sasa kwakweli tumechoka, kila mtu aende upande wake. Mbona sudani kuna kusini na kaskazini? Na sisi tugawane.
Wanaenda kwenye kipande chao, kama wapo wengi tutawaongezea mikoa hata mitano, la msingi wakae hukohuko, Korea nao wana kusini na kaskazini, kipande chetu hatutaki mbegu ya kina lucas mwashambwa na tlatla
Hakuna mtu pale๐ฎKumbe MANGI MALEALE ALITUSALITI WANA KILIMANJARO ๐๐
Naona Usha lewa ngoja tukuache ๐๐Wewe ni mujinga