Tufunguane ubongo

Tufunguane ubongo

Na ndiyo engineer inatakiwa iwe hivyo kitu kianzie kwenye karatasi kiwe na specs fulani ili kije kwenye uhalisia japo tuwe wawazi ma engineer wetu wengi wanawahi kuridhika sana kwenye utendaji bado sana.
Uko sahihi.
 
Ukiingia kwenye hii biashara na ukataka uzalishe kwa wingi, na ili upate faida itakubidi ununue nondo kiwandani kwa tani
Tayari hapo tunaondoka kwenye pesa kidogo, au mtaji mdogo.

Lakini kikubwa, kuna kitu nimeokota na ubongo wangu umenufaika.
 
Back
Top Bottom