Tufundisha kwa vitendo - kilimo

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Mdau wa kilimo na ufugaji, sisi MDI, tumejitoa kufuatilia tafiti mbalimbali na kuzifanyia kazi, Kisha kuwafundisha wengine. Haya ndo Mambo tunayoshughulika nayo kwa Sasa
1. Kilimo bila udongo (Urban farming)
2. Hydroponics fodder
3. Kilimo Cha azolla
4. Uandaaji wa mbolea Bora ya asili.
Kwa wahitaji, tuwasiliane kupitia +255 655 533 543.
Ofisi zetu ziko jijini Mwanza Tanzania.
Wote MNAKARIBISHWA.
IMG_20211008_140320_HDR.jpg
FB_IMG_16335904015648317.jpg
20210930_163222.jpg
 
Nini tofauti ya kilimo Bila udongo na Hydroponic Farming? Kwa sababu naona umetaja hio kilimo bila Ufo go kama namba 1 na Hydroponic Farming namba 2
 
Nini tofauti ya kilimo Bila udongo na Hydroponic Farming? Kwa sababu naona umetaja hio kilimo bila Ufo go kama namba 1 na Hydroponic Farming namba 2
Haina tofauti, Ila Mimi ninapoongelea kilimo bila udongo, namaanisha zaidi Mambo ya mbogamboga. Kwenye hydroponics nàfanya ile ya kuistawisha chakula Cha mifugo - hydroponics fodder.
System za hydroponics kwa ajili ya mbogamboga Ni complicated na zinahitaji mtaji mkubwa. Lakini hii ya mifuko / ndoo ni rahisi Sana.
 
Soil less ndo hio hio Hydroponic na haijalishi ni mboga ni nafaka ni malisho au ni nini, ila ukitaja tu Soil less maana yake no Hydroponoc
 
Nini tofauti ya kilimo Bila udongo na Hydroponic Farming? Kwa sababu naona umetaja hio kilimo bila Ufo go kama namba 1 na Hydroponic Farming namba 2
Kilimo bila udongo hapa namaanisha urban farming ambapo unaweza kustawisha mbogamboga bila udongo, hapa unatumia samadi, pumba, ndoo / magunia na maji ...
namba 2, hydroponics fodder ni teknolojia ya kuzalisha vyakula vya mifugo kwa kutumia mbegu, virutubisho na maji tu.
 
Back
Top Bottom