Tuelimishe Umma Kuandika Magazetini Makala Mabalimbali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuelimishe Umma Kuandika Magazetini Makala Mabalimbali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Maarifa, Oct 29, 2007.

 1. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2007
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kazi nzuri inayofanywa na JF na vyombo vingine vya habari kama magazeti yasiyo na mkono wa watawala. ni jukumu la walio na maonao kuelimisha kinaga ubaga the Impliocation ya wananchi kuchagua viongozi omu. Hasa marafikim zangu wakulima. Sasa hivi tunalalmika pamoja. Lakini wakati wa uchaguzi walio nacho watatumia ki hila ili kushinda kwa kukua kura wakitumia Umaskini wa wapiga kura wanaoganga njaa ya leo bila kujali mbeleni. Wanachi inabidi waelelwe kuwa Kisingizio cha vita vya wenyewe kwe wenyewe hakipo. Tuna mifano hai Malawi, Kenya, zambia. na Tanzania ipo siku. CCM wakishaangauka ndiyo watajipanga upya. Kwa hiyo pamoja na kuyaanika hadharani madhila na ufidhuli, uroho na ulaji rushwa uliotia mizizi, upendeleo wa kweupe. basi hiyo iwe chachu wa kuwaondoa. KWA Members wa JF Pamoja na kuandika hapa kupeana data ni vema tukajikita kuandika katika Magazeti mablimbali na kajarida mabalimbali ili umma usome. Wenzetu wa nchi za magharibi hutumia vyombo vya habari sana na mwisho hushinda, Mungu ibariki Tanzania.
   
Loading...