Tuelimishe Umma Kuandika Magazetini Makala Mabalimbali

Maarifa

JF-Expert Member
Nov 23, 2006
4,568
2,911
Pamoja na kazi nzuri inayofanywa na JF na vyombo vingine vya habari kama magazeti yasiyo na mkono wa watawala. ni jukumu la walio na maonao kuelimisha kinaga ubaga the Impliocation ya wananchi kuchagua viongozi omu. Hasa marafikim zangu wakulima. Sasa hivi tunalalmika pamoja. Lakini wakati wa uchaguzi walio nacho watatumia ki hila ili kushinda kwa kukua kura wakitumia Umaskini wa wapiga kura wanaoganga njaa ya leo bila kujali mbeleni. Wanachi inabidi waelelwe kuwa Kisingizio cha vita vya wenyewe kwe wenyewe hakipo. Tuna mifano hai Malawi, Kenya, zambia. na Tanzania ipo siku. CCM wakishaangauka ndiyo watajipanga upya. Kwa hiyo pamoja na kuyaanika hadharani madhila na ufidhuli, uroho na ulaji rushwa uliotia mizizi, upendeleo wa kweupe. basi hiyo iwe chachu wa kuwaondoa. KWA Members wa JF Pamoja na kuandika hapa kupeana data ni vema tukajikita kuandika katika Magazeti mablimbali na kajarida mabalimbali ili umma usome. Wenzetu wa nchi za magharibi hutumia vyombo vya habari sana na mwisho hushinda, Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom