Tuelimishane: Uzalendo na Ucha Mungu wa Rais Magufuli ni upi?

Hii mada na comments zilizomo unatakiwa uwe makini sana kuweka komenti yako, i mean kuna hidden agenda humu.

Tumeshaanza kutishana. Ila wanasema heri wenye moyo safi.

Mada iko na moyo safi labda kama agenda fichika unazo wewe mkuu.
 

Mkuu umemsikia huyu? Nadhani anasema ukweli mtupu uliotukuka:

Your browser is not able to display this video.


Vinginevyo tutakuwa tunadandia treni kwa mbele.
 
Very true...
 
Magufuli aliambiwa na Kakobe Atubu akagoma,

Haiwezekani serikali ya kishetani ikaongoza maombi ya Mungu kwa watu walio safi ikafanikiwa watanzania ni wasafi ila tunaongozwa na watu wanaonuka damu hata siku moja hatutafanikiwa mpaka tutubu kama Mkapa.

Nchi inanuka damu, watu wenye manung'uniko, kupotea kwa haki, kufungwa, kupotea halafu kiongozi mkuu aongoze maombi ya taifa la mamna hii?

Hatutakuja kufanikisha chochote kwenye corona hata kwa mengine bila kuchagua tupite njia gani either ya kishetani au ya Mungu lakini tukiendelea kuwa wanafiki never hatutatoboa. Mungu hataki unafiki.
 
Amepoteza kuaminika na sasa kumbe hatuna kabisa mtu wa kuaminika tumekuwa watu wa kutenda mambo kienyeji mpaka wenzetu wanatucheka. Hana uzalendo na kamwe si mchamungu tena aache kutaja bure jina la Mungu.
 
Nyinyi ndio wapumbavu,halafu mtakuta mkiugua mnakunywa dawa!Si muende kanisani mkaombe?Huko Dini ilikoanzia wamefunga makanisa na Misikiti,mlalahoi wa huko ulimwengu wa 3 unajifanya unaijua sana dini!Shwain kabisa!
 
Magufuli ni muuuwaji Mkubwa, na hiii haitamuacha Salama, yeye anakimbilia Kijijini kujificha huku anashambulia had maaskofu kuwa wametenda makosa kufunga makanisa kuokoa watu Wakati yeye kakimbilia mafichoni, sasa huku analaumu maasikofu huku na yeye analaumiwa na viongoz wa Africa kwa kukimbia Vita hahaha huyu baba alidanganya watu kuwa Afya yake ni imara mapushap kwa wiiiingi, kumbe........ Halafu akawahadhaaa viongozi wa nchi jirani akina Kenyatta, museven na kagame kuwa marafiki wake akawateka kwa uongo na kweli akajiweka juuu Kama ndio staar wao akapigiwa makofi, akajitweza na kujiweka juuu kuonesha kuwa yeye ndio kiongozi Sahihi kuliko yeye, akajionesha kuwa Africa mashariki ikiungana yeye ndio anaestahili kuwa rais akadanganya watu Kwa kuongea kwa hasira hasira na maamuzi ya kuumiza watu, wapambe wakajiandikisha kwenye mitandao wakampandisha juuu hadi kileleni wengne wakamwita ni MUNGU, wengne wakampa majina mbali mbali wengne wakasema ni Zawadi toka kwa MUNGU, akavimba, haha hahah haha hahah sasa watu wooooote wameegundua kuwa huyu hata utendaji wa Kata hafai, wengi wamegundua kuwa walikuwa wanalishwa matango Pori, had marais wa nchi jirani wameanza kugundua kuwa walikuwa wanaingizwa cha kike, wamegundua kuwa mtu huyu kumbe sio lolote na si chochote, wamegundua kuwa kumbe walikuwa wanawekwa Kama ngao tu ili likitokea la kutokea wanamsaidia kuokoa jahazi Hahahaha kaumbulika vibaya mno mno mno, had marais waliokuwa wanamuona ndie star sasa wanamsema hadharani kwenye vyombo vya habari, tunajiuliza kuwa Kama wanamsema hivyo hadharani wakiwa wenyewe wanaongea ndio wanamchekaje sijui jamani, Hahaha na bado atadhalilika Sana eti hasira zake na kundi lake wanatolea hasira zao kwa watu Wa chadema haha hahah haha hahah na bado mziki baado ni mbichi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama ugonjwa tu umemkimbiza, je, ikitokea nchi inaingia vitani si atakimbilia uhamishoni atuache tufe! tumekosea sana wa tz, we don't have the president at all!
 
Ni kweli wakuu Mungu sio mnafiki hasikilizi maombi ya wenye dhambi. Ninawi Mfalme aliwaambia watu watubu wavae magunia toba ya kweli kujutia dhambi kiukweli sio gelesha huo utakuwa unafiki!!
Nchi inanuka damu watu wamepotea wengine wamepigwa risasi wamedhulumiwa wamekimbia nchi, ni bora kutubu kwanza kuombana misamahaa kurudisha haki za watu sio kufanya unafiki kama sanaa za kuigiza.
Mungu ni very strict sio wa mchezo hataniwi wala kudhihakiwa, watu washuke watubu na kunyenyekea Bwn anasikia ataiokoa nchi!!
 
Kama kuna mtu anayeamini Magufuli ana upeo,uwezo na maono ya kudhibiti gonjwa hili akapimwe akili! Kabundi na Ummy ni wasanii waigizaji wenye njaa kali-(utapia mlo) ya tumbo na ubongo!
 
Anasema mcha Mungu wakati anaua akina Ben Saanane na Azory Gwanda bila kosa lolote.

Ameua watu Mkuranga, Kibiti and Rufiji wapatao 300,000
 
Yule Jiwe ni MKATOLIKI Feki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…