Tanzania, Tanganyika na Uzalendo

MwakiIV

Member
Aug 31, 2018
79
135
Je tunajitambua? Je sisi ni nani? Je watu wanapenda tukijiita nani? Kwa nini tukijigamba kwa asili zetu tunaonekana wabaguzi?.

Haya ni maswali ya kawaida sana kwa mwenye uelewa kujiuliza kwa namna siasa za nchi zetu zinavyoendeshwa siku hizi.

Kuwa Msukuma si kosa na vivyo hivyo kuwa Mngoni, Mzaramo na Mndengereko.

Kuwa Mtanganyika si kosa kama ilivyo kuwa Mzanzibari.

WANAFILOSOFIA WA AWALI WALISEMA: Ili mtu awe huru kwanza AJITAMBUE na AJIVUNIE.

Sasa tuambiane hapa nani anajivunia UTANGANYIKA hapa Tanzania? Na kwa nini tunashindwa??

Uzalendo ni hali ya kulinda na kutetea masili mali za nchi na usalana na haki ya wananchi wenzako lakini pale inapobidi tetea kiongozi wako.

Sasa leo wanchi wenzetu wameuwawa na Serikali ya Palestina (HAMAS) lakini sie tupo tunacheka na Balozi wao na anazunguka kwenye media zetu tu.

Bado naendelea kutafakali mwenendo wa Tanzania dhidi ya Maslahi ya Tanganyika.

Heri ya Mwaka Mpya kwetu sote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom