Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,054
- 3,255
Habari Wakuu
Naomba tuelimishane mambo kadhaa kuhusu huu mfumo wa nishati inayotumia upepo (Wind turbine energy system).
1. Mahitaji/vifaa gani hasa (muhimu) vinavyohitajika ktk mfumo huu.
2. Kwa DSM vifaa vinapatikana wapi ? (Tukijua na bei ya kila kifaa itakuwa vyema zaidi kwa anayefahamu)
3. Kama kuna expert wa huu mfumo pia anaweza akatupa mawili matatu na sisi tukafaidika
Natanguliza shukrani wakuu.