Wafanyakazi sio wajinga kiasi anachofikiri ,matakwa yao ni pamoja na mambo mengine yanaoyeendana na haki zao ikiwemo pension,mafao baada ya kustaafu na tiba unapopata ajari kubwa kazini,kupunguziwa kodi kwenye mishahara yao na maboresho ya nyenzo za kutendea kazi na heshima ya mfanyakazi ilikuweza kupatiwa mikopo aweze kujijenga kabla hajaastafu,kwa hiyo yeye kutamka tuu kiwango na kuwaingizia tuu kwenye viwango vyao hakuna maana yeyote anafikiria hadithi za alinancha
Wafanyakazi hoyee
TUCTA juu juu,wembe ni ule ule
Wafanyakazi hoyee
TUCTA juu juu,wembe ni ule ule