Hizo hesabu mie zilinishida🤣 hesabu nazijua aise, nafundisha hesabu darasa la sita 📚📚 🎧🎧
Nasubiri jibu la hili wakuuTujaribu na hii
View attachment 3228162
Hizo ni hesabu za Ali Makundi Kamdomo wa UTO. Wanasoka wamenielewa5 + 10 = A + 7
B + A = 3 + 9
B - C = 10 - A
A=8 , B=4 , C=2
5 + 10 = 8 + 7
4 + 8 = 3 + 9
4 - 2 = 10 - 8
hivyo,
A + B + C=?
8 + 4 + 2=14
Mkuu Kiranga kwa heshima yako naomba nisaidie hii hapa🙋♀️Tujaribu na hii
View attachment 3228162
Mkuu Kiranga kwa heshima yako naomba nisaidie hii hapa🙋♀️
Sawa mkuu japo mie nlikuwa nazungumzia hiyo ya kuremove stick ( kwenye post nliyokuquote, .maana hakuna aliyejibu )Nomadix Kamaliza #10.
Ukitaka heshima weka hesabu za heshima za ku solve.
Hebu angalia hapa kwanza.
![]()
The 10 Hardest Math Problems Ever: Solutions & Explanations
Unlock the secrets behind the 10 hardest math problems in history, including the Four Color Theorem and Fermat's Last Theorem.mp.moonpreneur.com
Something went wrong in your head
Hizo za kujumlisha tu zinaumiza watu vichwa humuNomadix Kamaliza #10.
Ukitaka heshima weka hesabu za heshima za ku solve.
Hebu angalia hapa kwanza.
![]()
The 10 Hardest Math Problems Ever: Solutions & Explanations
Unlock the secrets behind the 10 hardest math problems in history, including the Four Color Theorem and Fermat's Last Theorem.mp.moonpreneur.com
🙏👍✔️🤝solution:
let;🔺 = X
🟦 = Y
🟡 = Z
equation ya kwanza
5 + 10 = X + 7
X + 7 = 15
X = 15 - 7
X = 8
equation ya pili
Y + X = 3 + 9
Y + X = 12
( X = 8 )
Y + 8 = 12
Y = 12 - 8
Y = 4
equation ya tatu
y - Z = 10 - X
( X = 4, Y = 4 )
4- Z = 10- 8
4 - Z = 2
-Z = 2 - 4
-Z = -2
Z = 2
( X = 8, Y = 4, Z = 2 )
🟡 +🔺 + 🟦 = Z + X + Y
= 2 + 8 + 4
= 14
Kwaiyo:
🟡 + 🔺 + 🟦 = 14