Tuchambane hapa

Duuuh! Kumbe unataka eeeh! Twende
Sura kama umeonja ndimu
Masikio kama ungo wa DSTV
Twende twende....unatembea vibaya mpaka ukiwa unaenda mtu anajua unakuja...
 
Patrickn anasema, una ulimi mrefu ka buti ya Wasira. Search Google uione ni Nouma I see!.
Nawewe unamaskio kama flampeni la kukaangia vitumbua
 
twende
1 mkewako m nene hadiakivaa shati jekundu watu wanajua kibanda cha M PESA
2kwenu kuchafu hadi mende wanakuja na viatu
 
I don't belong here ... utoto mwingi
 
Bahili unaficha pesa kama ndege ya Malaysia
 
Hahahaa! ww nawe mwembamba ukisimama ukutani watu wanajua ufa twende twende..

Hahahaaaa....hii sio...
nawewe unaringa hadi NECTA uliringa kufanya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…