Elections 2010 Tubashiri: Baraza la Mawaziri la JK Awamu ya Pili

Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,347
3,023
Kuna jipya? Kuna sura za kuboa kama ilivyokuwa? Nani PM? Size ya baraza je? Binafsi sitarajii jipya kabisa.
 
Salma Kikwete waziri wa matandikio yote ya vyumbani (yaani kukagua ka shuka zote kitandani ni safi au chafu). Ridhiwani Kikwete waziri wa kutunga mizengwe na kuchakachua uchaguzi. Miraji Kikwete waziri wa mawasiliano na kuvuta bhangi, cocaine & all illicit drugs. January Makamba aka Ernesto Sheka waziri wa majungu na utumbo. Rashid Shamte waziri wa kutuma sms za kipuuzi
 
Utasikia Kingunge Wizara ya Michezo, Makamba-Fedha, January-Elimu, Lowasa-Mambo ya Nje, ..... .....!!!
 
wala mimi sihitaji masuala ya baraza la mawaziri.. wakati mtu kaiba.. anatakiwa aondoke!!!

hata hivyo akiapishwa na kuunda baraza la mawaziri lisilo imara... utasikia watanzania wanalalamika wakati ni hao hao walikuwa wanavaa nguo za kijani na manjano!!! shame to them!!
 
Acha mambo ya sheik Yahaya wewe,nani anafanya kazi ya KUBASHIRI HAPA!!!!!!!!!!
 
akuna jipya baraza ni lile lile mafedhuli ni wale wale wakina masha na wenzake..dont think much abt this stpd gov
 
Samweli sita hatakosekana,ili kupunguza mtizamo kwamba wamemtupilia mbali nafasi ya uspika kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya ufisadi alipokua spika,ila watampa wizara isiyokua maarufu
 
Back
Top Bottom