Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,483
- 40,498
Kweli mkuu,wapo wengine wanasema bado wapo wapo kwanzaMKUU SUALA LA KUPATA AU KUTOPATA MTOTO MARA NYINGI NI HALIJI KWA KUTAKA,MTOTO NI BARAKA AMBAYO SIO WOTE WANABARIKIWA
Hiyo ni pointi mkuu, wameletwa duniani kwa kazi hiyoKufupisha hii habari, sema wanaume tusikimbie mimba....na tuwape mimba za kutosha hao wakina dada...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo watakaolipinga hili
Umeelewa lakini umeelewa vibaya.Alama jamn jitahidini wakuu kwenye histoia yako ukifa wanasoma idadi ya watoto Siyo Mali ulizokuwa nazo .Me nimeelewa
vunga
👍
ha ha ha ha😶😶Alama jamn jitahidini wakuu kwenye histoia yako ukifa wanasoma idadi ya watoto Siyo Mali ulizokuwa nazo .Me nimeelewa👏
ha ha ha ha unawachukua wale wajuaji sanaShida sio kuacha alama...shida ni nani unashirikiana nae kuacha hiyo alama
Kazi muhimu,bila watu sisimizi watamiliki uchumiHata uchumi wa kati unategemea nguvu kazi kwahiyo tuchape kazi wazee
Sent using Jamii Forums mobile app