Yametimiakunamshikaji wangu alinambia yeye aliweka post facebook,ilakunajamaa yake akamtonya akamwambia system sasa hivi kwasisi tusio naushawishi unafichwa mahali na kesi hakuna wala hutokaa uende mahakamani na huenda ndugu zako wasijue uko gereza gani ..!!!Anyway Hofu ituongoze kusema ukweli unao chukiwa
Wewe ndiyo unaandika haya leo? Unacjochea watu kufanya nini? Hatari sana. Kweli nchi hii haina watu wenye akili. Yaani wewe umeshahukumu na unamfahamu tayari mtekaji kumbe? Kwa nini police wasikutafute uwasaidue kumoata Roma kama ndiyo hivyo? Mpaka nakuogopa mkuu. Usiku mwema.Kwanza nielezee masikitiko yangu ya kufutwa mada ya "wakiamuakukupata watakupata tuu" sikuona tatizo kwenye ile mada pengine moderator anaweza kusema neno
Lakini sasa ni wazi hamkani si shwari tena.
Ishu ya kukamatwa mara kadhaa kwa Tundu Lissu, na hii ya jana ambayo mpaka sasa haijulikani kapelekwa wapi. ...itufungue macho kwa kina zaidi.
Inabidi kubadili gia hata kama kukosoa kwetu kuna nia ya kujenga, list ni ndefu na hatujui nani atafuatia.
Lissu ni public figure yanamtokea haya hebu jiulize mimi au wewe je?
Hatupaswi kukata tamaa Hatupaswi kurudi nyuma lakini vema kubadili gia kwakuwa safari bado ndefu na tunapanda mlima"wakiamua kukupata watakupata tu sikuona tatizo kwenye ile mada pengine moderator anaweza kusema neno
Lakini sasa ni wazi hamkani si shwari tena
Ishu ya kukamatwa mara kadhaa kwa Tundu Lissu, na hii ya jana ambayo mpaka sasa haijulikani kapelekwa wapi. ...itufungue macho kwa kina zaidi.
Inabidi kubadili gia hata kama kukosoa kwetu kuna nia ya kujenga, list ni ndefu na hatujui nani atafuatia
Lissu ni public figure yanamtokea haya hebu jiulize mimi au wewe je?
Hatupaswi kukata tamaa Hatupaswi kurudi nyuma lakini vema kubadili gia kwakuwa safari bado ndefu na tunapanda mlima
Tayari ni alfajiri ndugu, halafu hebu hariri post yako isomeke vemaWewe ndiyo unaandika haya leo? Unacjochea watu kufanya nini? Hatari sana. Kweli nchi hii haina watu wenye akili. Yaani wewe umeshahukumu na unamfahamu tayari mtekaji kumbe? Kwa nini police wasikutafute uwasaidue kumoata Roma kama ndiyo hivyo? Mpaka nakuogopa mkuu. Usiku mwema.
Wewe ndiyo unaandika haya leo? Unacjochea watu kufanya nini? Hatari sana. Kweli nchi hii haina watu wenye akili. Yaani wewe umeshahukumu na unamfahamu tayari mtekaji kumbe? Kwa nini police wasikutafute uwasaidue kumoata Roma kama ndiyo hivyo? Mpaka nakuogopa mkuu. Usiku mwema.
Tayari ni alfajiri ndugu, halafu hebu hariri post yako isomeke vema