Tubadili gia, list ni ndefu

Tubadili gia, list ni ndefu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,914
Reaction score
831,304
Kwanza nielezee masikitiko yangu ya kufutwa mada ya "wakiamuakukupata watakupata tuu" sikuona tatizo kwenye ile mada pengine moderator anaweza kusema neno
Lakini sasa ni wazi hamkani si shwari tena.

Ishu ya kukamatwa mara kadhaa kwa Tundu Lissu, na hii ya jana ambayo mpaka sasa haijulikani kapelekwa wapi. ...itufungue macho kwa kina zaidi.

Inabidi kubadili gia hata kama kukosoa kwetu kuna nia ya kujenga, list ni ndefu na hatujui nani atafuatia.

Lissu ni public figure yanamtokea haya hebu jiulize mimi au wewe je?

Hatupaswi kukata tamaa Hatupaswi kurudi nyuma lakini vema kubadili gia kwakuwa safari bado ndefu na tunapanda mlima"wakiamua kukupata watakupata tu sikuona tatizo kwenye ile mada pengine moderator anaweza kusema neno
Lakini sasa ni wazi hamkani si shwari tena

Ishu ya kukamatwa mara kadhaa kwa Tundu Lissu, na hii ya jana ambayo mpaka sasa haijulikani kapelekwa wapi. ...itufungue macho kwa kina zaidi.

Inabidi kubadili gia hata kama kukosoa kwetu kuna nia ya kujenga, list ni ndefu na hatujui nani atafuatia

Lissu ni public figure yanamtokea haya hebu jiulize mimi au wewe je?

Hatupaswi kukata tamaa Hatupaswi kurudi nyuma lakini vema kubadili gia kwakuwa safari bado ndefu na tunapanda mlima
 
Hata kukaa kimya nako ni strategy, sometimes paka huwa anaona uwepo wa panya kama ni kero ila ikifikia hatua panya wote wakahama, paka huanza kujiskia upweke na kumiss hao panya aliokuwa anaona kama ni nuisance kwake. Unamiss baridi pale panapokuwa na joto .
 
Ni Kweli mkuu Jr.
Hoja aliyokuwa anaisafiria Lissu ilitoka humu humu JF.
Wito kwa wana JF, tujitahitaji kuwasilisha vitu chanya ili tu yasije tukuta yanayowakuta wanasiasa.
Issue sio uoga au ujasiri bali ni integrity of the intended news /comments.
 
Inasikitisha sana Kiongozi tena public figure "kutekwa nyara".Najaribu kujiuliza hivi kuna shida gani mtu akikukosoa!
 
Na hii itaondolewa labda.

Labda Mods hawataki tupeane mbinu za kuwaepuka wazee wa kazi
 
Hapo ndiyo mtaona tofauti kati ya kiongozi na mtawala?

Ova
 
Inasikitisha sana Kiongozi tena public figure "kutekwa nyara".Najaribu kujiuliza hivi kuna shida gani mtu akikukosoa!
Lugha ya ukosoaji...ukikosoa kwa heshima hakuna tatizo. Tatizo linakuja unapokosoa kwa dhihaka kiasi cha kumfanya unayemkosoa kuona kuwa huyu ananikejeli na kukushusha hadhi aliyonayo katika jamii.

Angalieni lugha za kutumia wakati wa kukosoa. ukosoaji ulenge kuboresha mbinu za kuwasaidia watanzania wajitegemee kiuchumi na kijamii. Msitumie lugha za kichochezi wala kuudhi.
 
Kauli za vitisho na ubabe zenye kuashiria ukandamizaji demokrasia na uvunjaji wa katiba hazina tatizo.Tatizo ni kauli za ukosoaji ambazo zinashabihiana na kauli za ukandamizaji hapo nimekulewa naamini wote wanaotoa haya makauli wamekusikia!
 
Huu mchezo hauna referee
Wachezaji kuweni makini, usiweke ugoko utadokolewa
 
Mkuu mi nimeshabadili gia siku nyingi...nashinda zaidi kwenye jukwaa la wakubwa na lile la mapenzi...yaani bila kupenda
Uuuuuwiiiii kule shetani alikosimamia kisigino?
 
Imekuwa hatari, hata kukomenti naogopa. Mshana Jr, lazima tubadili gia kiukweli la sivyo tutaishia pasipo julikana
 
kunamshikaji wangu alinambia yeye aliweka post facebook,ilakunajamaa yake akamtonya akamwambia system sasa hivi kwasisi tusio naushawishi unafichwa mahali na kesi hakuna wala hutokaa uende mahakamani na huenda ndugu zako wasijue uko gereza gani ..!!!Anyway Hofu ituongoze kusema ukweli unao chukiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom